Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

DISPLEI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
73
Reaction score
47
Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu.

Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako vibaya.

Wahusika Mungu awafungulie wachukue hatua vinginevyo tunateseka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…