hii nayo ni hivyo hivyo mzee kama hauko sawa lazima ikutetemeshe.Bado ya mavi ya mbuzi inakuja.Sie huku Shamba unapanda juu ya mti unaangua unampa wife anaandaa ukinywa kidogo lazima utafute choo kilipo.
Hahaha duh we jamaa,tena kama upo shamba na choo hakuna lazima uchukue jembe na kuelekea vichakani.Bado ya mavi ya mbuzi inakuja.Sie huku Shamba unapanda juu ya mti unaangua unampa wife anaandaa ukinywa kidogo lazima utafute choo kilipo.
Hahahaahahaaaah,bakhresa ana kwama kwenye timu tu,ila si bidhaa zake nyenginekuna utu tududu utu
View attachment 1259904
Aisee kama uchawi sijui ndo ndo tuna limbwata, kila tukienda madukani tunaambiwa tumeisha
Hebu tuachane na Mo..Huyu mtu sijawahi kuona ubunifu wake hata bidhaa 1. Kila kitu Azam anachofanya yeye anakuja nyuma yake anatofautisha kidogo tu ujazo au bei. Babake alijitahidi sana lakini huyu kijana naona anazingua sokoni tu.
Ameiga Ukwaju wa Azam lakini yeye ya kwake sio juisi ni ladha ya ukwaju anauza sh 300 (maalum kwa watoto) unaambiwa hata watoto wameiona hii soda ni mbaya. Sasa sijui atamuuzia nani?
Kwanini asibuni products zake mwenyewe? Atengezene hata juisi ya ubuyu basi tujue ni yake!!!! Yupo simba lakini naona anachuma hela tu na kujitangazia biashara zake basi lakini hana faida yeyote.
Unaishi wapi Mzee baba?Sijawahi kunywa hata moja yanj juice zimenipita kushoto kabisaaa......
niko mjini hapa hapa mzee basi tu yani zimenipita kushoto naona tu watu wanakunywa ila haujatokea nikanunua maybe bkoz ni mtu wa tungi kidogoUnaishi wapi Mzee baba?
duh ukiwannulia tu unabeba mzigo sioIle apple punch ya azam ni noumer huwa napataga mademu kirahisi kabisa Huku kijijin kwetu
Swahiba hako kanafaa sana ukiwa umeamka na mning'inio kichwani halafu upate ka baridiiiiiiWanywa K-Vant tunapita kimya kimya kwenye hii thread. Sasa mlevi mie, na brand za juice wapi na wapi!
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Wiki ijayo tunatoa soda ya pilipili hohoHuyu mtu sijawahi kuona ubunifu wake hata bidhaa 1. Kila kitu Azam anachofanya yeye anakuja nyuma yake anatofautisha kidogo tu ujazo au bei. Babake alijitahidi sana lakini huyu kijana naona anazingua sokoni tu.
Ameiga Ukwaju wa Azam lakini yeye ya kwake sio juisi ni ladha ya ukwaju anauza sh 300 (maalum kwa watoto) unaambiwa hata watoto wameiona hii soda ni mbaya. Sasa sijui atamuuzia nani?
Kwanini asibuni bidhaa zake mwenyewe? Atengezene hata juisi ya ubuyu basi tujue ni yake! Yupo Simba lakini naona anachuma hela tu na kujitangazia biashara zake basi lakini hana faida yeyote.
kwahiyo Mo anatembelea nyota ya Bakhresa?
yaaan dah udenda mpaka umedondokea kwenye kioo cha simuTunajazana mimate mdomoni tu,aggh
MAJUZI KATI SAFARI BEER WALIBADILISHA VILE VICHATA WAKARUDISHA VIPYA NA KUVIWEKEA KARANGI FULANI LEOHII ZINAONGOZWA KUISHA FASTA
HII NDIO TANZANIA BHANA UKIULIZA WANAKWAMBIA LADHA YA SASAHIVI KIBOKO KUMBE KANEMBO TU