Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Bado ya mavi ya mbuzi inakuja.Sie huku Shamba unapanda juu ya mti unaangua unampa wife anaandaa ukinywa kidogo lazima utafute choo kilipo.
hii nayo ni hivyo hivyo mzee kama hauko sawa lazima ikutetemeshe.
 
Bado ya mavi ya mbuzi inakuja.Sie huku Shamba unapanda juu ya mti unaangua unampa wife anaandaa ukinywa kidogo lazima utafute choo kilipo.
Hahaha duh we jamaa,tena kama upo shamba na choo hakuna lazima uchukue jembe na kuelekea vichakani.
 
Wanywa K-Vant tunapita kimya kimya kwenye hii thread. Sasa mlevi mie, na brand za juice wapi na wapi!
🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Huyu mtu sijawahi kuona ubunifu wake hata bidhaa 1. Kila kitu Azam anachofanya yeye anakuja nyuma yake anatofautisha kidogo tu ujazo au bei. Babake alijitahidi sana lakini huyu kijana naona anazingua sokoni tu.

Ameiga Ukwaju wa Azam lakini yeye ya kwake sio juisi ni ladha ya ukwaju anauza sh 300 (maalum kwa watoto) unaambiwa hata watoto wameiona hii soda ni mbaya. Sasa sijui atamuuzia nani?

Kwanini asibuni products zake mwenyewe? Atengezene hata juisi ya ubuyu basi tujue ni yake!!!! Yupo simba lakini naona anachuma hela tu na kujitangazia biashara zake basi lakini hana faida yeyote.
Hebu tuachane na Mo..
Je wewe kwa mwaka huu unaisha umefanya nini cha maana?
Mo kuiga biashara imekupa hasara gani? Au asipoiga biashara utapungukiwa nini?

Yaani ww ni mtu Wa ajabu sana, eti hujaona ubunifu wa Mo wakat pamoja na kutoona ubunifu anaweza kuwalea ukoo wenu wote mkala na kulala bure na kuwalipa mshahara million 1 kila mtu kwa mwezi na msifanye kazi yoyote..

Dili na maisha yako dogo acha umbea Wa kipwani
 
Wanywa K-Vant tunapita kimya kimya kwenye hii thread. Sasa mlevi mie, na brand za juice wapi na wapi!
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Swahiba hako kanafaa sana ukiwa umeamka na mning'inio kichwani halafu upate ka baridiiiiii
 
Huyu jamaa anacopy sana,hana bidhaa hata moja ambaye ameibuni
 
Huyu mtu sijawahi kuona ubunifu wake hata bidhaa 1. Kila kitu Azam anachofanya yeye anakuja nyuma yake anatofautisha kidogo tu ujazo au bei. Babake alijitahidi sana lakini huyu kijana naona anazingua sokoni tu.

Ameiga Ukwaju wa Azam lakini yeye ya kwake sio juisi ni ladha ya ukwaju anauza sh 300 (maalum kwa watoto) unaambiwa hata watoto wameiona hii soda ni mbaya. Sasa sijui atamuuzia nani?

Kwanini asibuni bidhaa zake mwenyewe? Atengezene hata juisi ya ubuyu basi tujue ni yake! Yupo Simba lakini naona anachuma hela tu na kujitangazia biashara zake basi lakini hana faida yeyote.
Wiki ijayo tunatoa soda ya pilipili hoho
Usijali mteja wetu
 
Hata hivyo wamepunguza volume asee,saiv hata 5 unapiga stim bado
MAJUZI KATI SAFARI BEER WALIBADILISHA VILE VICHATA WAKARUDISHA VIPYA NA KUVIWEKEA KARANGI FULANI LEOHII ZINAONGOZWA KUISHA FASTA

HII NDIO TANZANIA BHANA UKIULIZA WANAKWAMBIA LADHA YA SASAHIVI KIBOKO KUMBE KANEMBO TU
 
Back
Top Bottom