Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Hapooo ndipoo wanaharibuu waturudishiee ilee biaHata hivyo wamepunguza volume asee,saiv hata 5 unapiga stim bado
JUICE CHA MTOTO ICE CREAM YA UKWAJUUU HABARI YA MUJINIIWatu wa Dar huwa hawaishiwi mambo! Kwa hiyo ile juisi ya miwa ndiyo basi tena! Habari ya mjini sasa ni juisi ya UKWAJU ya Bakhresa!!!
Kwaniii uzinzi na WEWE usilicopy kuna aliefundishwa mapenziHuyu jamaa anacopy sana,hana bidhaa hata moja ambaye ameibuni
Apple punch nimekunywa sana wakati nasoma NBAA jion nikiyoka jobAzam naona ubunifu wake unalipa.
Mikate.
Ukwanju.
Apple punch
Still drinks.
Apple punch imenitoa sana kwenye kibanda changu cha vinywaji huku mkoani.
Kongole kwake.
Mo wembe atengeneze mara ngapi mkuu..mbona wembe zipoHebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
Zinanyoa vizuri kweli dadake?[emoji23][emoji23]Mo wembe atengeneze mara ngapi mkuu..mbona wembe zipo
Sasa mkuu kama upo sigimbi unawapataje walo clasic uwasage???Jamani mnanitamanisha, itabidi nitoke huku Sigimbi nije huko Dar es Salaam nijionjee Ukwaju wa Mzee Bakharesa.
[emoji39][emoji39]
MO BEERHebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
Hapooo ndipoo wanaharibuu waturudishiee ilee bia
ya ...mbilii tu
We n bingwaaa
Mo wembe atengeneze mara ngapi mkuu..mbona wembe zipo
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
Mo condomHebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
MO wabunifu hana kama aliokuwa nao SSB ndio maana kwenye vinywaji vyake kaongeza ujazo tu.Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848]Sasa mkuu kama upo sigimbi unawapataje walo clasic uwasage???