Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Alitoa ratiba yake ya Siku toka anaamka mtu asiye na akili tu ndo aliamini ule utoto!!....muongomuongo sana
 
Watu wa Dar huwa hawaishiwi mambo! Kwa hiyo ile juisi ya miwa ndiyo basi tena! Habari ya mjini sasa ni juisi ya UKWAJU ya Bakhresa!!!
JUICE CHA MTOTO ICE CREAM YA UKWAJUUU HABARI YA MUJINII

WATU WAZIMA WANANYONYAAA KWENYE BASI KAMA WANANYONYA.....
 
Huyu jamaa anacopy sana,hana bidhaa hata moja ambaye ameibuni
Kwaniii uzinzi na WEWE usilicopy kuna aliefundishwa mapenzi

Embu tulieni na NYIE wafanyakazi WA.....mmetumwaaa

Pambanenii muachane na kuajiriwa allah

#Basiasi left
 
Azam naona ubunifu wake unalipa.

Mikate.

Ukwanju.

Apple punch

Still drinks.

Apple punch imenitoa sana kwenye kibanda changu cha vinywaji huku mkoani.

Kongole kwake.
Apple punch nimekunywa sana wakati nasoma NBAA jion nikiyoka job
 
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
 
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
Mo wembe atengeneze mara ngapi mkuu..mbona wembe zipo
 
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
MO BEER
ATAHESHIMIKA.MPAKA MAWINGUNI

CC
OV..MRANGI
 
UKIIONA MA POST MFULULIZO ujue shahara aujaingia kwakina kagere nk

inabidI vijana waFAnye promoo
WACHEZAJI WALIPWE ASALALEEEH

NAOMBA MUUZA MO UKWAJU KAMA UKO HAPA NI INBOX NILETEE KATOON NCHANGIE WATANI WANGU
 
Kweli kabisa Safari wanakunywa wagumu/wabishi sasa hivi hadi warembo wanakunywa wamezingua sana
Hapooo ndipoo wanaharibuu waturudishiee ilee bia
ya ...mbilii tu

We n bingwaaa
 
Anazo mpaka betri lakini sokoni [emoji234] inakimbiza tu
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
 
hiyo ni strategy ya kawaida kwenye biashara mbona tunaita following the leader strategy.
 
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
Mo condom
 
Hebu tutaje bidhaa ambazo bado hazina vurugu hapa bongo. Atengenze nini haswaa
MO SALT
MO WEMBE
MO CHAPATI
MO CHOCOLATE
MO KARANGA
MO SWAHILI BUGGER
MO AFRO MAYONAISE
MO CHILL
MO TOMATO
MO CRIPS
MO PILAU MASALLA
MO MTINDI
MO JUNIOR SOCKS
MO KIDS BAG
MO LAPAS
MO wabunifu hana kama aliokuwa nao SSB ndio maana kwenye vinywaji vyake kaongeza ujazo tu.
 
Back
Top Bottom