Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Siwashauri kutumia chochote iwe bakhresa au mo
Mi naonaga bora sayona juices
 
Hahahaha yani atengeneze bidhaa ambayo hata yeye hataitumia?
 
Hawa watu hakuna walichogundua. Wote kuna sehemu wanaenda wanakuja na idea na lengo ni kuteka soko. Ukiona bidhaa inauza sana sokoni usikae tu, we naye tengeneza yako uweze penetrate soko. Ukishaingia sokoni ndio waanza rekebisha ubora na hapo ni baada ya bidhaa yako kuonekana bei poa
 
umechambua bidhaa ya watu kama unaijua vile imepoteza muda wako, energy focus kwenye mishe zako uwe bilionea
 
Tambi zake pia mbayaaa
 
Usijaribu mkuu kabisa nimbaya haina radha kabisa
Acha roho ya kimasikini muhamasishe ajaribu ili baadae nae aje na mrejesho wa alichokionja maana vinywa vinatofautiana namna ya kutafasili ladha ya vitu, na pia ladha usiyoielewa wewe Kuna wengine wanaihusudu. SIYO KILA BIDHAA SOKONI NI YA KILA MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…