johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bashite na yeye anagombea ubunge?
DUA LA KUKU (MAMA KUKU) HALIMPATI MWEWE!Ccm wameshaona kugombea ni uchochoro kwa vile taasisi zote ziko chini yenu. Ipo siku na saa isiyojulikana mtalia na kusaga meno
Kumekucha hapo anasubiriwa Pierre Liquid tu mkeka utiki!Kazi ipo
Mla Rambirambi v/s Mla BataSteve Nyerere Vs Pierre Liquid. Kuwadi mfupi na mlevi mfupi. Patamu hapo.
Huyi Makongoro Nyerere sio yule aliyetoka ccm na kwenda chadema?Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.
Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza.
Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius Nyerere!
Maendeleo hayana vyama!
Ulitangulia nae huko mbele za haki?Huyi Makongoro Nyerere sio yule aliyetoka ccm na kwenda chadema?
Km ni huyo mbona alishatangulia mbele za haki kwa Mungu baba
Aisee wewe una maneno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ulitangulia nae huko mbele za haki?
Hahahaaaa.........!Aisee wewe una maneno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha wivu wewe. Kwani kuna mtu kakuzuia usigombee? Hadi CHAUMMA kinatoa fomu, kachukue ugombeeCcm wameshaona kugombea ni uchochoro kwa vile taasisi zote ziko chini yenu. Ipo siku na saa isiyojulikana mtalia na kusaga meno