Kwanini tusimjaribu Mtoro Darabu Nyange? Kijana mchapakazai na anaijua pia mifumo ya kiserikali kwani naye ni mtumishi wa umma akiwa katika sekta ya elimu. HatutapotezaJimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.
Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri ubunge ni kuuliza maswali tu na kurudi jimboni kuanza kununulia watu ujugu.
Sasa tunatalajia kupata mbunge ambaye anaweza kuwapiku wabunge wote waliopita huyu Mama June Fussi sasa tunaona anafaa kuwa mbunge wetu kwa kipindi hiki cha sasa ambacho mapambano bungeni ni makali sana.
June Fussi ana uwezo wa kuwa msumbufu kwa makatibu wakuu wa wizara ambao ndio wenye mafungu hasa kipindi hiki baada ya mnvua njingi madaraja mengi yamekatika kwa hiyo mtifuano wa kutaka yajengwe bunge lijalo utakuwa ni mkubwa sana, June Fussi ana uwezo wa kuhimili mpambano huo hatuna shaka naye kabisa.
Juni Fussi ni mfanyakazi mwandamizi serikali ana uzoefu wote wa kujua serikali inafanyaje kazi pia ni mkazi wa Mpwapwa eneo la Mwanakianga kwa hiyo matatizo ya Mpwapwa anayajua vilivyo ni mpamabanaji mzoefu kwani katika ajira serikalini kaanzia kama Afisa UGANI ngazi ya kata hadi kuwa mwandamizi katika wizara ya Mifugo na Uvuzi masuala ya utafiti mwenye elimu ya Masters Degree, hakika wana jimbo la Mpwapwa tukimchagua June Fussi tutakuwa tumelemba dume.
Safari hii tusifanye makosa ya kuchagua wanaume tena tuchague mwanamke ambae atakomaa na matatizo yetu.
Kwanini tusimjaribu Mtoro Darabu Nyange? Kijana mchapakazai na anaijua pia mifumo ya kiserikali kwani naye ni mtumishi wa umma akiwa katika sekta ya elimu. Hatutapoteza

Magonjwa Mtambuka
Mzee kashachoka kwa umri, muda aliokaa unatosha, apishe damu changa zilete fikra na changamoto mpya
Bora umesema kijana anafaa. Hao wazee tushawapa sana nafas na wamezichezea. Tupo na hazina ya kutosha ya vijana. Wazee inatosha Sasa. Kwangu Mimi Mtoro Darabu Nyange anafaa. Pia wapo vijana wengine makini Kama Justin Maganga na Gabriel Hango. Wazee kwa sasa Big No
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Joka Kuu, trends za the political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, zinaelekeza CCM ndio mpango mzima...chagueni wabunge wengi toka upinzani.
..wabunge wa ccm wana jeuri na kiburi cha dola, na wanapofika bungeni wanatetea serikali badala ya wananchi.
..pia kusiwe na chama ambacho kina clear majority.
..pasiwepo na chama kinachoweza kupitisha mswada au bajeti bila kuungwa mkono na chama kingine.
Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.
Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri ubunge ni kuuliza maswali tu na kurudi jimboni kuanza kununulia watu ujugu.
Sasa tunatalajia kupata mbunge ambaye anaweza kuwapiku wabunge wote waliopita huyu Mama June Fussi sasa tunaona anafaa kuwa mbunge wetu kwa kipindi hiki cha sasa ambacho mapambano bungeni ni makali sana.
June Fussi ana uwezo wa kuwa msumbufu kwa makatibu wakuu wa wizara ambao ndio wenye mafungu hasa kipindi hiki baada ya mnvua njingi madaraja mengi yamekatika kwa hiyo mtifuano wa kutaka yajengwe bunge lijalo utakuwa ni mkubwa sana, June Fussi ana uwezo wa kuhimili mpambano huo hatuna shaka naye kabisa.
Juni Fussi ni mfanyakazi mwandamizi serikali ana uzoefu wote wa kujua serikali inafanyaje kazi pia ni mkazi wa Mpwapwa eneo la Mwanakianga kwa hiyo matatizo ya Mpwapwa anayajua vilivyo ni mpamabanaji mzoefu kwani katika ajira serikalini kaanzia kama Afisa UGANI ngazi ya kata hadi kuwa mwandamizi katika wizara ya Mifugo na Uvuzi masuala ya utafiti mwenye elimu ya Masters Degree, hakika wana jimbo la Mpwapwa tukimchagua June Fussi tutakuwa tumelemba dume.
Safari hii tusifanye makosa ya kuchagua wanaume tena tuchague mwanamke ambae atakomaa na matatizo yetu.
Mkuu Joka Kuu, trends za the political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, zinaelekeza CCM ndio mpango mzima.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
Pia the IQ index na the poverty level ya jimbo la Mpwapwa ni watu wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea, hivyo mkoa mzima wa Dodoma full of Matonyas hawawezi chagua upinzani.
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
Duh mtoro nyange
Muda WA kampeni badoJimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.