Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Joka Kuu, trends za the political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, zinaelekeza CCM ndio mpango mzima.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
Pia the IQ index na the poverty level ya jimbo la Mpwapwa ni watu wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea, hivyo mkoa mzima wa Dodoma full of Matonyas hawawezi chagua upinzani.
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
Hayo hapo Tatiana mtoroTupeni matokeo
Huyo *June* *Fuso* aliekua anapigiwa chepuo kwa sred hapa ndio huyo kaangukia pua hapa. Dah. Baasi thread ifungwe nasemaHayo hapo Tatiana mtoroView attachment 1514442
Tusubiri vikao vya juu mkuu, gender na CV yake huenda vikambeba😀Huyo *June* *Fuso* aliekua anapigiwa chepuo kwa sred hapa ndio huyo kaangukia pua hapa. Dah. Baasi thread ifungwe nasema
Dah, aisee!!!🤔🤔🤔Hayo hapo Tatiana mtoroView attachment 1514442
Weka na kapicha kake basi.Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.
Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri ubunge ni kuuliza maswali tu na kurudi jimboni kuanza kununulia watu ujugu.
Sasa tunatalajia kupata mbunge ambaye anaweza kuwapiku wabunge wote waliopita huyu Mama June Fussi sasa tunaona anafaa kuwa mbunge wetu kwa kipindi hiki cha sasa ambacho mapambano bungeni ni makali sana.
June Fussi ana uwezo wa kuwa msumbufu kwa makatibu wakuu wa wizara ambao ndio wenye mafungu hasa kipindi hiki baada ya mnvua njingi madaraja mengi yamekatika kwa hiyo mtifuano wa kutaka yajengwe bunge lijalo utakuwa ni mkubwa sana, June Fussi ana uwezo wa kuhimili mpambano huo hatuna shaka naye kabisa.
Juni Fussi ni mfanyakazi mwandamizi serikali ana uzoefu wote wa kujua serikali inafanyaje kazi pia ni mkazi wa Mpwapwa eneo la Mwanakianga kwa hiyo matatizo ya Mpwapwa anayajua vilivyo ni mpamabanaji mzoefu kwani katika ajira serikalini kaanzia kama Afisa UGANI ngazi ya kata hadi kuwa mwandamizi katika wizara ya Mifugo na Uvuzi masuala ya utafiti mwenye elimu ya Masters Degree, hakika wana jimbo la Mpwapwa tukimchagua June Fussi tutakuwa tumelemba dume.
Safari hii tusifanye makosa ya kuchagua wanaume tena tuchague mwanamke ambae atakomaa na matatizo yetu.
Kweli kabisa.. wanashabikia wakoloni weusiDodoma ni wasaliti mnasababisha tuendelee kukaa utumwani