1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoro ni mpigaji sana anamakando Kando mengi sana atufai hata kidogo,ni Kati ya maafisa ardhi mafisadi kuwai kutokea
Mtoro ni mpigaji sana anamakando Kando mengi sana atufai hata kidogo,ni Kati ya maafisa ardhi mafisadi kuwai kutokea
Sasa hivi ni afisa Elimu Sekondari wa Manispaa ya Kigamboni. Huyo jamaa sijui anamzungumzia Mtoro Nyange yupi!!!Humjui Mtoro Nyange, hajasomea mambo ya ardhi na wala hajawahi kuwa afisa ardhi. Amesomea ualimu. Ni afisa taaluma wilaya ya kigamboni kabla ya hapo alikua msalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unasema hawezi kutokea mkuu?Usaliti mtupu! Dodoma sijaona mbunge makini hata mmoja na hatakaa atokee kwa miaka ya karibuni!
Tutamchagua Ngoi Edward Limu ambaye ni mtu mwenye Kariba ya kuongoza umma wa watanzania wote hivyo tunaanza na kumpa Jimbo la Mpwapwa. Huyo Pusi sijui Ufuzi sijui Fusi akajipange huko vichakani
Mkuu Joka Kuu, trends za the political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, zinaelekeza CCM ndio mpango mzima.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
Pia the IQ index na the poverty level ya jimbo la Mpwapwa ni watu wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea, hivyo mkoa mzima wa Dodoma full of Matonyas hawawezi chagua upinzani.
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
Mkuu Joka Kuu, hili neno..tumejenga imani potofu kwamba ccm ndiyo chama pekee chenye hoja na mbinu za kushawishi masikini na wale wasio na elimu kubwa.
..vyama mbadala vijiandae kwa hoja zenye ushawishi na mvuto wapiga kura masikini walioko vijijini na hata mijini.
..Vyama vya upinzani havijawahi kuwa na mkakati maalum wa kuongeza idadi ya uwakilishi wao BUNGENI. Mara nyingi wagombea wa ubunge wamekuwa wakifanya kampeni kivyao-vyao bila kupata msaada wa kutosha toka ktk vyama vyao.
Cc Mag3,. Nguruvi3, Kalamu1
Huyo June Fussi Ngowi alishawahi kugombea ubunge jimbo la Njombe Magharibi Mara mbili akapigwa chini angetulia tu sasa awaachie vijana maana umri ushaenda atengeneze vijana watakaoleta mabadiliko kuliko wazee kuwa na uchu wa madaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo jamaa fulani hivi miaka ya nyuma alikuwa PATUU na kina Dr. Ishengoma ametembea sana maeneo mbalimbali ya wilaya ya mpwapwa na ni mtu msikivu Sana. Anajihusisha na shida za watu na kurahisisha utatuzi wa changamoto nyingi sanaNgoi limu ni nani Kaka? Maana mtoa mada kamsema June Fussi anafahamika, mtoro Nyange anafahamika. Ngoi ni yupi au yule jamaa alikuwaga msanii anaimbaimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia na kijana wangu wakuitwa 'Ngoyi limu'. Tume tia nia toka mwakajana sasa tupo jimboni tunapiga misele tuKwanini tusimjaribu Mtoro Darabu Nyange? Kijana mchapakazai na anaijua pia mifumo ya kiserikali kwani naye ni mtumishi wa umma akiwa katika sekta ya elimu. Hatutapoteza
Dah! Mnapiga jaramba! Ado ado basi mkuu rungu la Chama lisiwashukie kwa kuanza harakati mapemaMimi pia na kijana wangu wakuitwa 'Ngoyi limu'. Tume tia nia toka mwakajana sasa tupo jimboni tunapiga misele tu
Hahaha inshaalahDah! Mnapiga jaramba! Ado ado basi mkuu rungu la Chama lisiwashukie kwa kuanza harakati mapema
🙏🙏🙏👍🏼👍🏼👍🏼Hahaha inshaalah
Mkuu Joka Kuu, hili neno
P