Bora hata Tundu alisoma Ilboru.Kwani Tundu Lisu alisoma nini kule A level?
Ila kajuaje kama kakosea ?Aliiona wapi form ya huyu prof wa sociology ?
Kabisa NEC watende haki otherwise WATALIA WOTE yaani NEC watalia,Chadema watalia na CCM watalia.Pongezi kwa kamanda. Safari hii hakuna kulia wenyewe tutalia wote!
"A level" na "PhD" ni sawa ndugu? Watakudharau hata hiyo heshima robo kilo uliyobakiwa nayo.Kwani Tundu Lisu alisoma nini kule A level?
Prof gani hajui hata kazi za TARURAProf. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Kwani Tundu Lisu alisoma nini kule A level?
unamaanisha hawa hawa maprofesa ambao JPM anaowaokota huko majalalani au wengine?Prof. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
elimu??Wewe una elimu gani hapo ulipo ? Acha dhihaka mkuu!
Kama huna hoja kaa tulia!elimu??
profesa ubwabwa anaokotwa jalalani alafu unaulizia elimu yangu??
Kwani ulemavu ni kosa au ni jinai? Ulemavu ni hali ambayo inaweza kutokea kwa mtu yeyote ni kama tunavyowaita albino walemavu wa ngozi kwani tunakuwa tunawabully? Haya Lissu ni mzima??? Lissu ni mlemavu wa mguu huo ndo ukweliMungu wa Yacob na Isack akusamehe, hujafa hujaumbika ndugu yangu.
Mkuki kwa nguruweHahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Hahahaaa mwanaume anasukuma Civil Eng, Physics, nkProf wa sociology. Mwanaume kusoma HKL napo kipaji.
Ila nawe kama ulisoma Preposition na adverb anza masomo upya, akili izoee kuhangaika.hawa maprofesa mnaowaokota jalalani ni maprofesa ubwabwa.
Hizo taarifa umezipata wapi Chadema kila mwenye smartphone na PC amekuwa msemaji wa chama bhasi sioni haja ya kumlipa mshahara tumaini makene mwambieni akatafute kazi nyingine kama kila mfwasi au wanachama wa chadema ni msemaji wa Chamambona Nape, kasimu majaliwa wameogopa kampeni wakaona njiabrahisi ni kuteka wapizani na kuwanyang'anya form.
UKIONA MTU NI PROF YUPO CCM BASI HUYO HATA LA 7 ANA AHUENIProf. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!