Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Mungu wa Yacob na Isack akusamehe, hujafa hujaumbika ndugu yangu.
Kwani ulemavu ni kosa au ni jinai? Ulemavu ni hali ambayo inaweza kutokea kwa mtu yeyote ni kama tunavyowaita albino walemavu wa ngozi kwani tunakuwa tunawabully? Haya Lissu ni mzima??? Lissu ni mlemavu wa mguu huo ndo ukweli
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Mkuki kwa nguruwe
 
mbona Nape, kasimu majaliwa wameogopa kampeni wakaona njiabrahisi ni kuteka wapizani na kuwanyang'anya form.
Hizo taarifa umezipata wapi Chadema kila mwenye smartphone na PC amekuwa msemaji wa chama bhasi sioni haja ya kumlipa mshahara tumaini makene mwambieni akatafute kazi nyingine kama kila mfwasi au wanachama wa chadema ni msemaji wa Chama
 
Back
Top Bottom