Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.

Ninaamini kuwa 2020 Rais Dr Magufuli atazoa kura zote yaani siyo chini ya 90% ya kura zote! Believe me or not but this is the reality.
 
Acha wivu.
 
Mbona Sugu ameweza?

Husimlinganishe Sugu na vitu vya ajabu mkuu

Sugu ameweza kwa Sababu ya Elimu yake na exposure kubwa ( aliishi Marekani kwa muda mrefu sana )

Sugu ameweza kwa Sababu alikua ni Mwanamziki na si mkata viuno kama huyo Diamond

Sugu alikua mwanamziki na sio mtu wa vijembe na kubana pua
 
Ndo uone waafrica akili zetu na perception zetu zinafanana.Sasa Diamond eti Rais and believe me hapa Tanzania inawezekana kabisa.Tena Mond akitaka kugombea ubunge Kigoma anashinda asubuhi kabisa.
Sio kweli fatilia kisa cha Mariga pale Kenya .
usituchukulie poa waafrica tunaoishi pande nyingine...
 
Ili watekwe ? Hii video wametengeneza chadema
Mkuu kawadanganye watoto wadogo! Hivi kweli wananchi wengi kwenye kituo cha kupigia kura wawe wanamtaka mgombea wa CDM wangeacha kufanyafujo kama kungekuwa na uonevu wa kiasi hicho??
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…