Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi

Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu. Wengine kina nani nimewasahau.....
 
Back
Top Bottom