Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi
Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu. Wengine kina nani nimewasahau.....