Yule mchungaji matata anayeitwa Mtikila, hivi pundwe amepelekwa hospitali kulazwa na kushonwa nyuzi baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira. Mtikila alipata dhahama hiyo baada ya kuhutubia kuwa Mbowe na CHADEMA yake ndio waliomuua Chacha Wangwe.
.......ndiyohiyo
Yes Indeed, ni mchungaji na chama chake ni DP Kipo hadi huko VisiwaniHivi huyu jamaa yuko relevant kweli? Kuna mtu anayemsikiliza siku hizi? Na chama chake vipi? Kipo au kipo jina tu? Halafu ni mchungaji wa kanisa gani huyu Mtikila?
Macho_Mdiliko,
Mengi anaingia vipi hapa especially katika siasa??
Mtanzania mie si mwana CCM wala CHADEMA, lakini maneno aliyoongea Mtikila na kugawa yale makaratasi yamenistua sana. Nafkiri hata wanaCCM wengi yamewastua, au mwezetu? Yale yale ya Simba Vs Yanga?
wrong deduction; it just shows your bias. Kwanini hukufikiria possibilities nyingine. Ungependa nijaribu kukuorodheshea some?
Yes Indeed, ni mchungaji na chama chake ni DP Kipo hadi huko Visiwani
Mazagazaga yote hayo yapo ndani ya DP..Kwa hiyo DP ni dini au chama cha kisiasa au kikundi cha dini?
Mazagazaga yote hayo yapo ndani ya DP..
Na wewe ule udhibitisho wa tuhuma za mama Kilango umeishia wapi?Huyu mtikila sawa na mpinzani wa zimbabwe sawa na mrema lipumba na wengine wengi waliowahi kupigwa katika harakati zao za kisiasa wanapigwa vichwani je tukiwapa uongozi vichwa vitafanyakazi tena jamani ?
1..
.......habarindiyohiyo
na wewe ule udhibitisho wa tuhuma za mama kilango umeishia wapi?
Unamsema mwenzio
Mkuu Mtikila anafaidika kutokana na fedha aliyopewa na hao mabwana zake... Amepewa contract ya kuwachafua Mengi, Mbowe na Slaa.