Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Acheni kubishana na rudini kwenye topic husika.

Inasemekana kuna watu wamevamia kambi ya CHADEMA huko Tarime na kuvunja vioo vya magari yao, mwenye habari zaidi tuleteeni.

Hivi lini tutajifunza kwamba vurugu hazishindi uchaguzi? Siasa sio ugomvi kabisa, hizi tabia za kuleta vurugu, kupiga watu, kuvunja mali za watu ni ishara ya ujinga wetu kama sio upumbavu.

Nchi maskini tunatakiwa tuachane kabisa na huu ujinga wa kuharibu mali za watu.
 
mkamap mimi unasema ? Nakuomba ubadili mwelekeo tujikite kwenye hoja na si vioja nk .Please

Lunyugu
nilikua naona wewe sijui unalaumu viongozi kwa sababu zipi?na wewe tunafahamu zako natunakufahamu vizuri sana

Unafahamu wewe ulitaka kuvunja ndoa ya watu na bahati yako siku hizi hutokei moshi
ulitaka kuvunja ndoa ya watu kwa kufanya mavituz na mke wa watu pale Arusha.
Bado unabisha !!!kwa kushambulia watu wengine vinara lakini ninyi ndio walewale na ndio maana nasema CHADEMA ni kama CCM wala sio chama mbadala wala nini MAFISADI tu wote.
 

mkamap, hii kali....mbona unatoka nje ya mada....ama ndo wale wale wa kuleta vioja hapa?
 
Ombi: Hii ni independent thread hivyo ningeomba moderator (Invisible) aiache ijitegemee. In other words, P'se don't move it. I kindly request so.

Now, the thing that bother me the most, I suppose, is that the journalistic excellence in Tanzania is almost zero or close to nothing. It's not only unprofessional, it's ridiculously insane, too. And I hate it. I can't stand it.

The thing is: yes, kuna historia ya vita vya kikabila na koo wilayani Tarime since the era of Alexander the Great, but it really angers me kuona jinsi waandishi uchwara na wajingawajinga wa CCM [Msekwa, especially]wanavyotaka/jaribu ku-exploit hii issue kwa manufaa yao wenyewe. Manufaa ya kushinda uchaguzi mdogo wa uchaguzi huko Tarime.

Vita vya kabila na koo vimekuwa vikiendelea huko Tarime kwa muda mrefu sana! Je, ni kwanini hao wanaojidai ku-adress hili issue hivi sasa walikuwa kimya muda wote huo? Why now? Why are they playing politics na maisha ya wananchi wa Tarime? Why?

Coz kumekuwa na habari za kipumbavu sana lately kwenye vyombo mbalimbali vya habari ambazo lengo kuu ni kuipaka Tarime matope Kwasababu tu Tarime imeikataa CCM.

Mfano, akizungumza na Alasiri, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bw. Pius Msekwa, alikariiwa jana akisema, "Kampeni zinaendelea vizuri, lakini huku kuna mapigano ya kikabila, hivyo ulinzi mkali unahitajika, maana unaweza ukawa katika kata hii, ukasikia katika kata nyingine yamezuka mapigano."

Lakini ukweli ni kwamba: Hivi sasa hakuna mapigano ya kikabila huko Tarime. In fact, CCM ndiyo inayotumia vitisho na nguvu kunyamazisha wale wasiokubaliana na sera zake huko Tarime. And I'm not confused about this. P'se follow me closely:

Gazeti la Alasiri, 2008-09-29 15:59:09: Watu wanne walikamatwa jana katika kijiji cha Nyamongo, kutokana na kuwazomea viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, waliokuwa wakifanya mkutano wa kampeni kijijini hapo.

Think of it, Queen mwenyewe anazomewa!

Let me tell you something here: This whole thing of "Tarime Ngoma nzito," "Tarime hakukaliki," " Risasi zavuma Tarime," you always read/hear in the media is just a lie. Lie, Lie, lie.

Thanks.
 
mkamap, hii kali....mbona unatoka nje ya mada....ama ndo wale wale wa kuleta vioja hapa?

Mtu anayeelewa atajua wafuasi wa chadema na chama chao siasa zao ni za ku attack watu badala ya hoja.

mkibishana kwa hoja wanakupa majina mengi kwa malengo yao.Huyu Lunyungu ame attack watu ila wavumilivu tumevumilia tu kumbe ukivumilia ndio unampa mtu wasaa wa kuendeleza vijembe kwa wezake wakati naye ni yaleyale.

Na bahati yake siku hizi hatokei moshi anadaganya mke wa mtu kua yeye ni mfanya biashara kati ya TZ na uholanzi na ndiye koshula wa tz uholazi .Huu si ufisadi
 
Masatu yeye anakaa na mkamap wanawaza kwamba tarime kuna vita .We are here lakini hakuna lolote .Njama hizi zilianzishwa na CCM na Tossi muda sana and I reported this mwanzoni kabisa .Hakuna mapigano ila kuna instigation kila kona CCM wanadhani ndiyo njia pekee ya wao kulipata jimbo la tarime.Hakika watu watakufa na kuteseka sana sana .Kuna mnazi mmoja anaitwa Kolimba yeye maisha ya mtu wa Tarime si thamani zaidi ya wao na kupata kura za kuwapa jimbo .

JK anajua haya yote lakini yuko kimya maana alisha enda huko nyakati za nyuma wa kuchagua katika Halmashauri akabwagwa .Yuko kimya watu wafe then waseme CCM namba moja .
 

mkamap, mkuu nadhani nyie mwajuana na Lunyungu, turudi kwenye maada yetu..Tarime ni tofauti sana na sehemu nyingine Tanzania. Wanaelewa wanachokitaka, sera za kudanganya watu kama watoto kwa mwanasiasa yeyote bila kujali itikadi Kule wajiandae, nasikia jana wananchi walizomea kampeni za CCM, na leo wananchi wengine wamevamia magari ya CHADEMA na kufanya uharibifu mkubwa, je kuna siasa chafu huko ama watu wa Tarime ndivyo walivyo?

Ushi
 

Thanks man for your depth analysis. ukweli ni kwamba: TARIME HAKUNA MAPIGANO. PERIOD! Ila hizi ni njama tu za CCM kutaka ku-confuse watu ili waibe kura kirahisi. And Media is solely responsible kwa kueneza huu uzushi wa kijinga!
 
sasa kuna nini kama hakuna mapigano ?

Shy, I always thought you're such a smart guy, ila, seriously I'm disapointed hapa! Yaani hata baada ya jinsi media/CCM walivyojaribu kupakaza kwamba Mbowe amefukuzwa na mapanga huko Tarime [kwenye msiba wa Wangwe] bado unaamini kinachoandikwa kwenye media kuwa Tarime kuna mapigano ni cha kweli? P'se mkuu, spare me from this lie.
 
Thanks man for your depth analysis. ukweli ni kwamba: TARIME HAKUNA MAPIGANO. PERIOD! Ila hizi ni njama tu za CCM kutaka ku-confuse watu ili waibe kura kirahisi. And Media is solely responsible kwa kueneza huu uzushi wa kijinga!

Mimi nashuhudia haya kwa kuwa niko Tarime na hata huko kwenye kata zinazo semwa ni uongo mtu ila Serikali imeamua kufanya uharamia juu ya wana Tarime .Chuki zilionyeshwa tangia zamani na Lowasa na sasa kila CCM nzima inaonyesha jinsi gani walivyo wastaarabu.

tafadhali kama uko jirani fika hapa opposite na Bank ya CRDB kuna vijana na wakina mama wanajitafutia maisha yao hapa wasikie kilio chao.Wanadiriki kusema Tarime ni Iraq maisha ya mtu hayathaminiwi bali kura tu .
 
Ushirombo

Chadema-Wanavamiwa kwa kauli zao,hivyo walaumiwe kwa midomo yao.Na wanaowavamia ni watu waliochoshwa na udanganyifu wa chadema hivyo wabebe msalaba wao.Na wanaowavamia ni waharifu tu kama waharifu wengine ama wahuni wachache
 
Ushirombo

Chadema-Wanavamiwa kwa kauli zao,hivyo walaumiwe kwa midomo yao.Na wanaowavamia ni watu waliochoshwa na udanganyifu wa chadema hivyo wabebe msalaba wao.Na wanaowavamia ni waharifu tu kama waharifu wengine ama wahuni wachache

Mkamap

That is a very general statement, sidhani kama CHADEMA ni wadanganyifu kuliko sisiemu, ama vyama vingine, siasa za Africa mara nyingi ni kutoa ahadi zisizotekelezeka, na hakuna mechanism in place kuhoji udanganyifu wa vyama na wanasiasa. Nakubaliana na wewe Mkamap mkondo wa sheria ichukue nafasi yake, lakini ugumu unakuja pale Kamanda wa police anapohudhuria mikutano ya chama tawala kuweka kutathimini kampeni....TOSS kwani yeye ni kada pia wa chama?
 
Ushirombo

Chadema-Wanavamiwa kwa kauli zao,hivyo walaumiwe kwa midomo yao.Na wanaowavamia ni watu waliochoshwa na udanganyifu wa chadema hivyo wabebe msalaba wao.Na wanaowavamia ni waharifu tu kama waharifu wengine ama wahuni wachache

Poti,

Mbona una hasira sana leo? Watu wa Tarime wamekukosea/kunyima nini mpaka uwe na big time interest na kugombana na wachangiaji hapa?

Ongea hoja zako zieleweke maana hii inachanganya kujua unasimama wapi kwenye issues hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…