Huyo ndio msimamizi wa uchaguzi wa tarime mpaka aseme hivyo ? Jamani tusitake kupotosha watu kwa makusudi wewe zitto kwanza unatafutwa na polisi
Shy umesema sahihi kabisa. Hiki kimuhe muhe cha nini watu wawe na subira watu design ya Zitto ( kama ni kweli ) wanaweza sababisha machafuko pindi matukeoa rasmi yatakapotoka kwa kudhani wameibiwa
Jamani niko Tarime na you can reach me ukitaka namba yangu hiyo hapo
Ndugu zetu mlioko Tarime na wengine wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kutuletea habari za kinachoendelea kuhusu uchaguzi, asanteni sana. Miongoni mwenu mmejitolea tu kiuungwana - mbarikiwe sana.
It is no doubt that other members here feel the same.
.
Ndugu zetu mlioko Tarime na wengine wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kutuletea habari za kinachoendelea kuhusu uchaguzi, asanteni sana. Miongoni mwenu mmejitolea tu kiuungwana - mbarikiwe sana.
It is no doubt that other members here feel the same.
Ilibidi tume iandae utaratibu wa wasemaji wa vyama ndio waongee kuhusu jambo hili na asiongee kabla ya kuonana au kupeana taarifa na msimamizi wa uchaguzi pamoja na wakuu wa usalama wa eneo husika anachofanya mh nyepesi ni uhuni na hauwezi kuvumiliwa
mimi pia kama kweli kashindwa maana yake kina Gachuma swahiba wake wote puu!Kweli Tarime wanatupa fundisho!Jambo Lilonifurahisha ni kumbwaga Peter Zakaria "the murder" alizani Tarime wanaangalia pesa ha! ha !ha ! teh! teh! teh! teh! he! he! he! he !
Matokeo rasmi vipi hayajatoka mpaka sasa tunasubiri kwa hamu
Matokeo rasmi kesho. Hii ni kadiri ya mkurugenzi wa uchaguzi huko Tarime.
Ila ah! TBC1 wametangaza mjini Tarime hakuna umeme. Ndiyo maisha yao ya kila siku, au ni huu mgao unaoendelea au something fishy?
Ooops!Ila ah! TBC1 wametangaza mjini Tarime hakuna umeme.