Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Huyo ndio msimamizi wa uchaguzi wa tarime mpaka aseme hivyo ? Jamani tusitake kupotosha watu kwa makusudi wewe zitto kwanza unatafutwa na polisi

Shy umesema sahihi kabisa. Hiki kimuhe muhe cha nini watu wawe na subira watu design ya Zitto ( kama ni kweli ) wanaweza sababisha machafuko pindi matukeoa rasmi yatakapotoka kwa kudhani wameibiwa
 
Shy umesema sahihi kabisa. Hiki kimuhe muhe cha nini watu wawe na subira watu design ya Zitto ( kama ni kweli ) wanaweza sababisha machafuko pindi matukeoa rasmi yatakapotoka kwa kudhani wameibiwa

Jamani niko Tarime na you can reach me ukitaka namba yangu hiyo hapo
 
Tarime habari ndiyo hiyo! CCM Chali Tarime!. Chadema yashinda kata 18 kata 20. Hizo mbili yalikuwa bado hayapatikana. Habari hizi ni kwa mujibu wa Zito Kabwe on Radio Free Africa.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani MH.Zitto kama katoa matokeo ya uchaguzi.........
TBC1 wako live? Nilisikia wao wataleta habari za uhakika na live from TRM.
 
Ilibidi tume iandae utaratibu wa wasemaji wa vyama ndio waongee kuhusu jambo hili na asiongee kabla ya kuonana au kupeana taarifa na msimamizi wa uchaguzi pamoja na wakuu wa usalama wa eneo husika anachofanya mh nyepesi ni uhuni na hauwezi kuvumiliwa
 
Ndugu zetu mlioko Tarime na wengine wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kutuletea habari za kinachoendelea kuhusu uchaguzi, asanteni sana. Miongoni mwenu mmejitolea tu kiuungwana - mbarikiwe sana.
It is no doubt that other members here feel the same.

.
 
Mimi pia nitashangaa kwa jinsi wafuasi wa CHADEMA walivyonyanyazwa kwa vipigo na vitisho vilivyofanywa dhidi yao na polisi na FFU. CCM ilihakikisha inashinda jimbo hilo kwa hali, mali, vipigo na vitisho hata kuiba kura pia. Pia tusisahau jinsi CCM walivyomnunua mwendawazimu Mtikila kuwachafua viongozi wa CHADEMA kuhusiana na kifo cha Wangwe. Hivyo kama kweli wameshindwa basi nawapa pongezi kubwa wapiga kura wa Tarime. Laiti wapiga kura wa majimbo mengine Tanzania wangekuwa na mwamko mkubwa kama nyinyi basi tungeikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa chama cha mafisadi.
 
Ndugu zetu mlioko Tarime na wengine wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kutuletea habari za kinachoendelea kuhusu uchaguzi, asanteni sana. Miongoni mwenu mmejitolea tu kiuungwana - mbarikiwe sana.
It is no doubt that other members here feel the same.

.

Could this be the long awaited flicker of light at the end of a long dark tunnel ? I am keeping my fingers crossed as this could be the wake up call mag3 is praying for day and night. Long live freedom and justice, a luta continua
 
Ndugu zetu mlioko Tarime na wengine wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kutuletea habari za kinachoendelea kuhusu uchaguzi, asanteni sana. Miongoni mwenu mmejitolea tu kiuungwana - mbarikiwe sana.
It is no doubt that other members here feel the same.

Tupo ukurasa mmoja hapo mkuu.
 
Jambo Lilonifurahisha ni kumbwaga Peter Zakaria "the murder" alizani Tarime wanaangalia pesa ha! ha !ha ! teh! teh! teh! teh! he! he! he! he !
 
Ilibidi tume iandae utaratibu wa wasemaji wa vyama ndio waongee kuhusu jambo hili na asiongee kabla ya kuonana au kupeana taarifa na msimamizi wa uchaguzi pamoja na wakuu wa usalama wa eneo husika anachofanya mh nyepesi ni uhuni na hauwezi kuvumiliwa

wewe ni mtu mzima.
umu tunapeana updates tu! au kama haupendi hizi taarifa toka nje tubaki sisi au wewe umetumwa na upinzani?
Zitto yuko sahihi.g9t kaka SHY
 
Sitashangaa chama chochote cha siasa yaani CHADEMA au CCM kushinda ... tena vyote kushinda kwa haki kabisa!
 
Jambo Lilonifurahisha ni kumbwaga Peter Zakaria "the murder" alizani Tarime wanaangalia pesa ha! ha !ha ! teh! teh! teh! teh! he! he! he! he !
mimi pia kama kweli kashindwa maana yake kina Gachuma swahiba wake wote puu!Kweli Tarime wanatupa fundisho!
 
I am waiting for the last results of the victory of CHADEMA to death. Hebu tu, iwe kweli kwani ccm wamedhani siku zote wanahati miliki ya tz
 
Matokeo rasmi vipi hayajatoka mpaka sasa tunasubiri kwa hamu

Matokeo rasmi kesho. Hii ni kadiri ya mkurugenzi wa uchaguzi huko Tarime.

Ila ah! TBC1 wametangaza mjini Tarime hakuna umeme. Ndiyo maisha yao ya kila siku, au ni huu mgao unaoendelea au something fishy?
 
Hii inanikumbusha ECK ya mzee Kivuitu, wasije kukosea kuhesabu tu maana mhhhh kuna kaharufu hapo jimbo dogo hilo kesho ya nini jamani ama wanataka consult mzee Kibaki?
 
Kama kweli haya tuliyoambiwa ni kweli, basi pigo kubwa litakuwa kwa mzee Msekwa, na ushindi mkubwa utakuwa kwa TREKTA. Kwani trekta lilikuwa linajua kukomboa majimbo, lakini sasa ni wakati mgumu kwa CCM, ngoja tusubiri yasije kuwa ya mjini magharibi wakatangaza baadae tume ya uchaguzi ikageuza kibao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom