TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
Majumuisho ya kura yamefanywa kwa vituo vyote isipokuwa vituo SITA tu.Kazi inaendelea kwa sasa ila mgombea wa CHADEMA anaongoza kwa tofauti ya kura 3000.Stay tuned
saa sita ndiyo hii imepita. Still no new news. Bado nasubiria kwa kweli leo hakuna kulala.
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
Majumuisho ya kura yamefanywa kwa vituo vyote isipokuwa vituo SITA tu.Kazi inaendelea kwa sasa ila mgombea wa CHADEMA anaongoza kwa tofauti ya kura 3000.Stay tuned
Watu wawe fair basi; siyo CCM wala Chadema walioleta helikopta hadi karibu siku tano za mwisho za kampeni iliyodumu kwa wiki nne. Hivyo sidhani kama helikopta zinaweza kuleta tofauti yeyote kwani kwa karibu asilimia 75 (wiki tatu) kampeni za CCM na Chadema zimefanywa kwa old fashioned way; kwa kutumia barabara.
MMJJ,
Kuwa fair ni sawa kabisa, lakini inaelekea unasahau yaliyoandikwa hasa humu JF. Huko barabarani walipita wagombea tu wa vyama. Vingunge wa hivyo vyama waliishia kufanya mikutano Tarime mjini au wakienda vijini huruka na Helikopta (Mbowe). Tuliambiwa na CHADEMA humu mtandaoni kuwa barabara za serikali ya CCM hazipitiki ndio maana Mbowe akaja na Helikopta yake. Kwa hiyo tusisikie mtu akinung'unikia masanduku ya 'kula' kuchelewa kwa sababu ya barabara.
Udiwani ama Ubunge? Pse
Hapa nimefikia mwisho hakuna cha Tv wala redio yenye dalili ya kuripoti live matokeo rasmi ya uchaguzi wa ubunge wa Tarime usiku huu. Tegemeo pekee ni hapa JF, jee hizo data zinashuka tuendelee kusubiri au tujilalie na kumsubiria Erick David Nampesya kwenye Amka na BBC in the next five hours?.
Hadi sasa inaonekana kwamba Chadema wameshinda Ubunge kwa kura chache maana hadi sasa Chadema wana kura 27,000 na CCM kura 21,000 na matokeo ambayo bado kujumlishwa ni ya kata mbili, ambazo nazo kimsingi Chadema wameongoza. Kata hizo ni kata ya Inadi na Muriba

Mhhh...inaonekana "turnout" ilikuwa ndogo manake jumla tuliambiwa zaidi ya watu 146,000 wamejiandikisha. Inaonekana waliojitokeza ni chini ya asilimia 50% au 40% kitu gani kimetokea ...au kuna namna ilitaka kufanywa ila imeshindikana?

Chadema wameshinda kwa asilimia 54.9, CCM 43.22%