Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
Majumuisho ya kura yamefanywa kwa vituo vyote isipokuwa vituo SITA tu.Kazi inaendelea kwa sasa ila mgombea wa CHADEMA anaongoza kwa tofauti ya kura 3000.
Stay tuned

Udiwani ama Ubunge? Pse
 
saa sita ndiyo hii imepita. Still no new news. Bado nasubiria kwa kweli leo hakuna kulala.
 
Hapa kama una haraka wewe lala tu siasa za bongo wanaweza kukwambia matokeo j4 sijui utakesha 3 days
 
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
Majumuisho ya kura yamefanywa kwa vituo vyote isipokuwa vituo SITA tu.Kazi inaendelea kwa sasa ila mgombea wa CHADEMA anaongoza kwa tofauti ya kura 3000.
Stay tuned

mungu saidia upinzani ushinde!!!!!bunge la chama kimoja mi kiama cha watanzania masikini....
 
Watu wawe fair basi; siyo CCM wala Chadema walioleta helikopta hadi karibu siku tano za mwisho za kampeni iliyodumu kwa wiki nne. Hivyo sidhani kama helikopta zinaweza kuleta tofauti yeyote kwani kwa karibu asilimia 75 (wiki tatu) kampeni za CCM na Chadema zimefanywa kwa old fashioned way; kwa kutumia barabara.

MMJJ,
Kuwa fair ni sawa kabisa, lakini inaelekea unasahau yaliyoandikwa hasa humu JF. Huko barabarani walipita wagombea tu wa vyama. Vingunge wa hivyo vyama waliishia kufanya mikutano Tarime mjini au wakienda vijini huruka na Helikopta (Mbowe). Tuliambiwa na CHADEMA humu mtandaoni kuwa barabara za serikali ya CCM hazipitiki ndio maana Mbowe akaja na Helikopta yake. Kwa hiyo tusisikie mtu akinung'unikia masanduku ya 'kula' kuchelewa kwa sababu ya barabara.
 
MKUU,
unachotaka kutuambia ni kuwa kazi ya kusafirisha masanduku ya kupigia kura ni ya vyama vya CCM na CHADEMA? kama ndo unacho maanisha unatupotosha.....
NEC wana budget ya kutosha sana kufanya kazi hiyo..... vyama vimesha kamilisha majukumu yao na NEC nayo ikamilishe ya kwakwe bila mizengwe na visingizio
 
Hapa nimefikia mwisho hakuna cha Tv wala redio yenye dalili ya kuripoti live matokeo rasmi ya uchaguzi wa ubunge wa Tarime usiku huu. Tegemeo pekee ni hapa JF, jee hizo data zinashuka tuendelee kusubiri au tujilalie na kumsubiria Erick David Nampesya kwenye Amka na BBC in the next five hours?.
 
bora hivyo kaka.........kibongobongo huwa hatujali muda sana alwayz kutakuwa na excuse ya kusema tuongeze muda.....na unaweza kusubiri hadi hiyo asubuhi
 
Hapa nimefikia mwisho hakuna cha Tv wala redio yenye dalili ya kuripoti live matokeo rasmi ya uchaguzi wa ubunge wa Tarime usiku huu. Tegemeo pekee ni hapa JF, jee hizo data zinashuka tuendelee kusubiri au tujilalie na kumsubiria Erick David Nampesya kwenye Amka na BBC in the next five hours?.

Hadi sasa inaonekana kwamba Chadema wameshinda Ubunge kwa kura chache maana hadi sasa Chadema wana kura 27,000 na CCM kura 21,000 na matokeo ambayo bado kujumlishwa ni ya kata mbili, ambazo nazo kimsingi Chadema wameongoza. Kata hizo ni kata ya Inadi na Muriba
 
nashukuru sana kaka, sasa naweza kwenda kupumzika nikisubiri details zaidi kesho, hope full upinzani umeshinda na CCM imeanza kupata somo....usiku mwema
 
Hadi sasa inaonekana kwamba Chadema wameshinda Ubunge kwa kura chache maana hadi sasa Chadema wana kura 27,000 na CCM kura 21,000 na matokeo ambayo bado kujumlishwa ni ya kata mbili, ambazo nazo kimsingi Chadema wameongoza. Kata hizo ni kata ya Inadi na Muriba

Ni kweli HALISI,

Takwimu nilizozipata ni kama za kwako.Kata zilizosalia ni zile ambazo zilichelewa kufikisha masanduku kutokana na mvua kubwa.Mpashaji habari amenidokeza kuwa ujumlishaji wa kura kwenye kituo ambako CHADEMA wanafanyia majumlisho yao asilimia ya wao kushinda iko juu.

Masanduku ya vituo viwili yako njiani kufika kituo cha halmashauri ambako zoezi la majumuisho litafanywa na matokeo kutangazwa rasmi huenda kwenye saa tisa.

Wenye ubavu wa kusubiri haya.Tungali pamoja wana JF
 
Hadi sasa inaonekana kwamba Chadema wameshinda Ubunge kwa kura chache maana hadi sasa Chadema wana kura 27,000 na CCM kura 21,000 na matokeo ambayo bado kujumlishwa ni ya kata mbili, ambazo nazo kimsingi Chadema wameongoza. Kata hizo ni kata ya Inadi na Muriba

Mhhh...inaonekana "turnout" ilikuwa ndogo manake jumla tuliambiwa zaidi ya watu 146,000 wamejiandikisha. Inaonekana waliojitokeza ni chini ya asilimia 50% au 40% kitu gani kimetokea ...au kuna namna ilitaka kufanywa ila imeshindikana?
 
Hiyo Namna usihofu we subiri watangaze ndio utajua kuwa hiyo namna ipo na CCM ni chama cha mafisadi.
 
Mhhh...inaonekana "turnout" ilikuwa ndogo manake jumla tuliambiwa zaidi ya watu 146,000 wamejiandikisha. Inaonekana waliojitokeza ni chini ya asilimia 50% au 40% kitu gani kimetokea ...au kuna namna ilitaka kufanywa ila imeshindikana?

Chadema wameshinda kwa asilimia 54.9, CCM 43.22%
 
Turnout ilikua ndogo kwa kuwa vijana wengi wamekamatwa na wengine kutishwa huku wengine wakiambiwa majina yao hayaonekani. Lakini wameshindwa kupandikiza kura za CCM, wana Tarime walikuwa macho
 
Chadema wameshinda kwa asilimia 54.9, CCM 43.22%

Tunashukuru kwa updates but is that the final tally ama bado kuna matokeo mengine bado yako njiani?

Maana nimeshaagiza chupa nyingine za wine na shampane kwa kusherekea ushindi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom