Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
SINGLE D, jimbo lilikuwa na wapiga kura takriban ya laki na 20 sasa kwa matokeo haya ina maana kura za Mwera na Kangoye wamepata kama sitini elfu na hizo zingine wamegawana akina Mbatia na Mtikila???!!!!
TUPATIE STATISTICS AMBAZO ZINAZOJIBU MASWALI KAMA HAYA MKUU.
NISEME TU KUWA HAPA BADO SIJAUONA UKWELI WA MATOKEO KUPITIA KWAKO.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mkuu, ni ngumu kuamini lakini imewezekana, WanaTarime wameonyesha kuwa inawezekana. Hata Dola yote (Polisi na Mkuu wao wa Operationa + Sungusungu na Chipukizi) wajipange dhidi ya Demokrasia hawataweza, kitachotokea ni kuwa labda CCM itawale miti na magofu. Na hilo wameshagundua na next time hawatajaribu kulazimisha matakwa yao kwenye uchaguzi.
FMES,
Hapa mambo si sawa... Kuna ka utata. tatizo lilelile la upinzani kujitangazia matokeo ndo inatukabili.
Udiwani nasikia wamepata ila ubunge bado kuna mushkeli.
...haya yako wapi....waliokuwa wakikebehi ushindi wa chama dume...combat..comandos..chadema!!!!...if you are the really men please stand up...please stand up ...please stand up!!!
Na bado,hiyo ni rasha rasha.
Kama hili jimbo moja wametumia nguvu kubwa ya Vibarua,Nchimbi,Ngeleja,ze-comedy Tambwe hiza na makamba, sungusungu Stanley Komba,venace tossy na kengeza barlow na steven Wasira sijui itakuaje 2010 nchi nzima maanke sijui watajigawa vipi.
Hiyo ni test ya kwanza ktk nguvu CHADEMA ilizoonyesha kukabiliana na Mafisadi.Hicho ndicho chama mbadala.Sasa ccm kwa namna nyingine walivyokua wanafanya vurugu na kutumia vitisho through polisi wameweza sasa kuwapa matumaini watu wa mikoa mingine kwamba mabadiliko yanawezekana hata bila CCM,na hata kama hawataki.that is a Golden Experience
Mkubwa wangu, hata na wewe? Kati ya wana-ccm ninaowaaminia hapa JF ni wewe na FMES. TBC1 wameshatangaza hayo matokeo rasmi.
Iliyobaki sasa matanga tu.
Naona mkuu meno yote nje.
maana kaposho kamebaki pale pale kwi kwi kwi kwi kwi
FMES,
Hapa mambo si sawa... Kuna ka utata. tatizo lilelile la upinzani kujitangazia matokeo ndo inatukabili.
Udiwani nasikia wamepata ila ubunge bado kuna mushkeli.