Na bado,hiyo ni rasha rasha.
Kama hili jimbo moja wametumia nguvu kubwa ya Vibarua,Nchimbi,Ngeleja,ze-comedy Tambwe hiza na makamba, sungusungu Stanley Komba,venace tossy na kengeza barlow na steven Wasira sijui itakuaje 2010 nchi nzima maanke sijui watajigawa vipi.
Hiyo ni test ya kwanza ktk nguvu CHADEMA ilizoonyesha kukabiliana na Mafisadi.Hicho ndicho chama mbadala.Sasa ccm kwa namna nyingine walivyokua wanafanya vurugu na kutumia vitisho through polisi wameweza sasa kuwapa matumaini watu wa mikoa mingine kwamba mabadiliko yanawezekana hata bila CCM,na hata kama hawataki.that is a Golden Experience