Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Makoye (DP) 305, Haruni (NCCR) 949, Kangoye (CCM) 28,949, Mwera (Chadema) 34,545

Haya ni matokeo rasmi kwa mujibu wa msimamizi. Wote wamekubali matokeo
 
SINGLE D, jimbo lilikuwa na wapiga kura takriban ya laki na 20 sasa kwa matokeo haya ina maana kura za Mwera na Kangoye wamepata kama sitini elfu na hizo zingine wamegawana akina Mbatia na Mtikila???!!!!

TUPATIE STATISTICS AMBAZO ZINAZOJIBU MASWALI KAMA HAYA MKUU.

NISEME TU KUWA HAPA BADO SIJAUONA UKWELI WA MATOKEO KUPITIA KWAKO.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mkubwa,Matokeo rasmi haya hapa.

vituo 406
Idadi 146919
waliopiga kura 67,733
Kura halali 64,765
haribika 2,938
UDP 305
NCCR 949
CCM 28,696 42.6%
CHADEMA 34,545 51%

Aliekuwa mgombea wa SISIEMUU Kangoye aaliche;ewa kufika wakati matokeo yanatangazwa.Alipofika amedai kuwa hayatambui matokeo ya uchaguzi huo.Chakushangaza alishasaini karatasi za matokeo lakini anang'ang'ania majumuisho kwa upya.

I think he has gone MAD
 
Last edited:
Mwera: Nawapongeza wananchi wa tarime, haya ni maamuzi yao na demokrasia imefanya kazi. Tunaahidi kuwatetea wananchi.
Kukamatwa wananchi kwa kuandamana na kusherehekea ushindi si kitendo kizuri. Walishajua kuwa wameshinda na walikuwa na haki ya kusherehekea. Oilisi hawatakiwi kutumia nguvu zaidi
 
FMES,

Hapa mambo si sawa... Kuna ka utata. tatizo lilelile la upinzani kujitangazia matokeo ndo inatukabili.

Udiwani nasikia wamepata ila ubunge bado kuna mushkeli.
 
SINGLE D, jimbo lilikuwa na wapiga kura takriban ya laki na 20 sasa kwa matokeo haya ina maana kura za Mwera na Kangoye wamepata kama sitini elfu na hizo zingine wamegawana akina Mbatia na Mtikila???!!!!

TUPATIE STATISTICS AMBAZO ZINAZOJIBU MASWALI KAMA HAYA MKUU.

NISEME TU KUWA HAPA BADO SIJAUONA UKWELI WA MATOKEO KUPITIA KWAKO.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

FDR jr pole sana mwanachama wa chama cha mafisadi. Yaani umechanganyikiwa kiasi cha kushindwa kufikiri vizuri. Duh!

Katika hesabu zako umesahau kitu kimoja: turnout. Unajua ilikuwa asilimia ngapi?

Hongera Chadema kwa kulibakiza jimbo hilo. Ruzuku ipo pale pale au sio.
 
...haya yako wapi....waliokuwa wakikebehi ushindi wa chama dume...combat..comandos..chadema!!!!...if you are the really men please stand up...please stand up ...please stand up!!!
 
Mkuu, ni ngumu kuamini lakini imewezekana, WanaTarime wameonyesha kuwa inawezekana. Hata Dola yote (Polisi na Mkuu wao wa Operationa + Sungusungu na Chipukizi) wajipange dhidi ya Demokrasia hawataweza, kitachotokea ni kuwa labda CCM itawale miti na magofu. Na hilo wameshagundua na next time hawatajaribu kulazimisha matakwa yao kwenye uchaguzi.

Na bado,hiyo ni rasha rasha.

Kama hili jimbo moja wametumia nguvu kubwa ya Vibarua,Nchimbi,Ngeleja,ze-comedy Tambwe hiza na makamba, sungusungu Stanley Komba,venace tossy na kengeza barlow na steven Wasira sijui itakuaje 2010 nchi nzima maanke sijui watajigawa vipi.

Hiyo ni test ya kwanza ktk nguvu CHADEMA ilizoonyesha kukabiliana na Mafisadi.Hicho ndicho chama mbadala.Sasa ccm kwa namna nyingine walivyokua wanafanya vurugu na kutumia vitisho through polisi wameweza sasa kuwapa matumaini watu wa mikoa mingine kwamba mabadiliko yanawezekana hata bila CCM,na hata kama hawataki.that is a Golden Experience
 
Waliopiga kura 67733, kura halali 64795 makanya dp = 305, machonne nncr = 949, kangoye ccm =28996 & mwera chadema = 34545
 
FMES,

Hapa mambo si sawa... Kuna ka utata. tatizo lilelile la upinzani kujitangazia matokeo ndo inatukabili.

Udiwani nasikia wamepata ila ubunge bado kuna mushkeli.

Mkubwa wangu, hata na wewe? Kati ya wana-ccm ninaowaaminia hapa JF ni wewe na FMES. TBC1 wameshatangaza hayo matokeo rasmi.

Iliyobaki sasa matanga tu.
 
...haya yako wapi....waliokuwa wakikebehi ushindi wa chama dume...combat..comandos..chadema!!!!...if you are the really men please stand up...please stand up ...please stand up!!!

It's impossible buddy.

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa.

Comando uko nikutafute tukapige gwaride?

Huu ni ushindi,nakuambia mkuu watu wameumbuka,haielezekki!
 
Na bado,hiyo ni rasha rasha.

Kama hili jimbo moja wametumia nguvu kubwa ya Vibarua,Nchimbi,Ngeleja,ze-comedy Tambwe hiza na makamba, sungusungu Stanley Komba,venace tossy na kengeza barlow na steven Wasira sijui itakuaje 2010 nchi nzima maanke sijui watajigawa vipi.

Hiyo ni test ya kwanza ktk nguvu CHADEMA ilizoonyesha kukabiliana na Mafisadi.Hicho ndicho chama mbadala.Sasa ccm kwa namna nyingine walivyokua wanafanya vurugu na kutumia vitisho through polisi wameweza sasa kuwapa matumaini watu wa mikoa mingine kwamba mabadiliko yanawezekana hata bila CCM,na hata kama hawataki.that is a Golden Experience

Naona mkuu meno yote nje.
maana kaposho kamebaki pale pale kwi kwi kwi kwi kwi
 
...sasa turudi mbeya ...asubuhi wakazi wa mbeya walikuwa wanapiga simu kwenye live show ya clouds ..wanalalamika kitendo cha waandishi wanaoambatana na rais ziarani kutoeleza ukweli wa mambo kinyume na mapokezi anayoyapata kikwete kule...sio mazuri ..na wao wanaumia kwa kuwa haiandikwi......vipi salva anawapa nini hao waandishi...kwani mwanahalisi na wengine huwa hawaalikwi kuambatana na misafara ya rais!?
 
Heko mbowe,heko slaa,heko zitto,heko mnyika
heko chadema heko wana tarime
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
tarime iwe ndio dira ya uchaguzi katika chaguzi zitakazofuata kwa kuzingatia nguvu ya umma na sio nguvu ya dola. heko wana tarime mlichokifanya ni real sisi ni wajesi kamili na si
wanajeshi.
 
Mkubwa wangu, hata na wewe? Kati ya wana-ccm ninaowaaminia hapa JF ni wewe na FMES. TBC1 wameshatangaza hayo matokeo rasmi.

Iliyobaki sasa matanga tu.

Mku usijali,Comandoo Es atakuja tuu? huyu tupo nae pamoja,ni mwana-CCM liberal.
 
Naona mkuu meno yote nje.
maana kaposho kamebaki pale pale kwi kwi kwi kwi kwi

Naona mkuu umenuna.

Yaani lundo loote la ma-zecomedy mlilipeleka huko halafy wanatarime na CHADEMA wakawa-prove wrong?

Na bado mna kazi,halafu kasome kwenye gazeti la Nipashe huko Mbeya wamachinga wamewapa kichapo mgambo kwa kuwafukuza maeneo yao ya biashara ili mkwere apite.

Haya ndiyo mapambano yanaanza,sijui una lakusema? Naona angalao wewe unajitahidi kujitokeza hapa leo,hongera ila pole sana mkuu.Nakuombea majeraha ya moyo yapone
 
FMES,

Hapa mambo si sawa... Kuna ka utata. tatizo lilelile la upinzani kujitangazia matokeo ndo inatukabili.

Udiwani nasikia wamepata ila ubunge bado kuna mushkeli.

FP,
Tizama reply yangu juu hapo.results kamili kutoka kinywani mwa msimamizi mkuu wa uchaguzi Tarime
 
Taarifa imetolewa rasmi na msimamizi wa uchaguzi, nadhani details zitapatikana muda si mrefu bila shaka baada ya mabomu kutulia,maana kuna kelele za darfur darfur darfu!!!! hongera chadema kulinda viti vyenu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom