Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hili ni la uchaguzi wa Tarime ni kubwa zaidi kuliko chochote kile mwaya. Kama hili lisingenitoa huko basi hakuna tena lingine lolote ambalo lingeweza. Leo ni siku ya furaha sana kwangu. I am so happy that nafikiria kuruka angani na kupaa mpaka golden gate bridge na kufanya makelele makubwa sana ili wote wa San Francisco mpaka Manhattan NY wanisikie.
Asante sana Mkjj, ninapanga kuja huko weekend, nitatengeza sambusa za nyanya na vitunguu saumu - no meat please!
pouwa hata tuendelee kumkoma nyani giledi, furaha yako ni yangu!