Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hili ni la uchaguzi wa Tarime ni kubwa zaidi kuliko chochote kile mwaya. Kama hili lisingenitoa huko basi hakuna tena lingine lolote ambalo lingeweza. Leo ni siku ya furaha sana kwangu. I am so happy that nafikiria kuruka angani na kupaa mpaka golden gate bridge na kufanya makelele makubwa sana ili wote wa San Francisco mpaka Manhattan NY wanisikie.
Asante sana Mkjj, ninapanga kuja huko weekend, nitatengeza sambusa za nyanya na vitunguu saumu - no meat please!
jamani lini pati ya kusherehekea ukomandoo wa wana tarime jamani jamani tarime kuna kabila gani ,,,na mmie mwana tarime kuanzia leo jamani
jamani lini pati ya kusherehekea ukomandoo wa wana tarime jamani jamani tarime kuna kabila gani ,,,na mmie mwana tarime kuanzia leo jamani
Kama ni kweli CHADEMA mmeshinda, basi 'hongereni zenu'.
CCM tulishasema kuwa tutakubali matokeo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Kidumu Chama Tawala
Sidhani kama CCM waliweza kununua shahada 20,000 bila ya CHADEMA n.k. kutokupata habari. Hivyo vitisho vya watu kwenda kuchukua silaha zao na kuingia mitaani, ni lazima ziliwafanya wasio wakereketwa wa CHADEMA na CCM kukaa nyumbani.
Despite winning, CHADEMA have to be worried of 10% decrease in support. Kama upungufu huo ungetokea kwenye jimbo lingine lolote waliloshinda ubunge 2005, basi wangepoteza hivyo viti.
Such a poor a analysis! Hivi nguvu kubwa ya ccm, serikali na dola iliyotumika huko dhidi ya Chadema huioni? Wanadamu hawana mioyo ya chuma. Maguvu yakizidi wanatikisika na kutishika.
Invicible,
Huyo muache tu, atatafuta kila kitu ili kuibashia CHADEMA hapa jamvini. Hiyo ni kawaida yake na sasa amezoeleka hapa.
Good to see you back lady. My wife really admires your posts. She kept asking me all the time: Where is Mwafrika wa kike? Now I have a satisfying answer.
mungu msamehe mja wako huyu
Such a poor analysis! Hivi nguvu kubwa ya ccm, serikali na dola iliyotumika huko dhidi ya Chadema huioni? Wanadamu hawana mioyo ya chuma. Maguvu yakizidi wanatikisika na kutishika.
Invincible,
Huyo muache tu, atatafuta kila kitu ili kuibashia CHADEMA hapa jamvini. Hiyo ni kawaida yake na sasa amezoeleka hapa.
Tarime has been all along their territory.
"Mgombea Kangoye wa CCM bado hatambui ushindi wenu....."
Mkuu, Kangoye kutotambua hakubadili fact of the matter...