Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Serikali isiwaondoe Polisi hao Tarime itakuwa ni kutowatendea haki wanaTArime na WaTz kwa ujumla. Serikali ikumbuke kuwa iliwaambia WaTz kuwa Askari wale wamepelekwa kutuliza mapigano ya Kikoo huko Tarime na si kwa ajili ya Uchaguzi.
Akakusanye wapi ushuru sasa?inavyojua ukijiingiza kwenye siasa kwa inakubidi uache kazi yako jaman.kama nimekosea mtanirekebisha wakuu.na ndio mana yule jamaa aliyekuwa mbunge wa mwibara alilazimika kuacha kazi pale foreign affairs.sijui kwa sasa yuko wapi.[/I][/COLOR]
Asubiri kufungua kesi mahakamani.
Mategemeo ya kesi hiyo kuisha haraka ni 2010!
Akakusanye ushuru TRA!
Sidhani kama CCM waliweza kununua shahada 20,000 bila ya CHADEMA n.k. kutokupata habari. Hivyo vitisho vya watu kwenda kuchukua silaha zao na kuingia mitaani, ni lazima ziliwafanya wasio wakereketwa wa CHADEMA na CCM kukaa nyumbani.
Despite winning, CHADEMA have to be worried of 10% decrease in support. Kama upungufu huo ungetokea kwenye jimbo lingine lolote waliloshinda ubunge 2005, basi wangepoteza hivyo viti.
Sorry!!
Kidding !!wajamani ni kuwapinda tu presha watu si kweli.
Msekwa ananichekesha anapoandika kama vile hakuwako katika sakata hili, kama vile hakushiriki kupanga haya yaliyotokea! Anataka kujitoa kama vile waliofanya hayo yote ni wengine na yeye alikuwa mtazamaji tu asiyekuwa na kauli ama mamlaka yoyote, ambaye alisubiri haya yatokee ndipo aje na "reflections" zake. Mtu aliyekwenda Tarime na kauli kama "nimetumwa na Amiri Jeshi Mkuu....." leo anaandika kama vile alikuwa mtazamaji tu! Kweli amechoka huyu, arudi tu nyumbani akabembelezane na mzee mwenzie Anna! Hizi sasa ni hekaya za kuwasimulia wajukuu zake, si kauli za kuongozea chama katika ngazi ya makamu mwenyekiti taifa, au 2-ic.
Ufisadi ndani ya CCM sio 'way of life' kama ulivyosema bali ni wa baadhi ya 'wanachama' wachache kama walivyo mafisadi kwenye vyama vingine vya siasa hapa Tanzania (kwa sasa wakiongozwa na Mchungaji mwenzangu Mtikila).
Ni kweli kuwa Rais wetu (ambaye ni mwenyekiti wa CCM) ni MSAFI isipokuwa amezungukwa na baadhi ya washauri wanaompotosha
Mie kuihama CCM kama Kijana Waitara haitawezekana maana hata Waitara tunamsubiri atarudi CCM muda mfupi ujao
Napenda pia kukukumbusha suala la Zambia, ambapo Chiluba alikuwa fisadi lakini alipoingia Levy Mwanawasa (RIP) madarakani, ambaye alikuwa mtu wa karibu sana na Chiluba, alibadili chama na kuwashughulikia mafisadi wote akiwemo Chiluba
Mwisho napenda ufahamu kuwa CCM bado ni Chama makini kuliko vyote hapa Tanzania; Karibu sana CCM uwe mmoja wa wanachama wake
Hii imekaa vipi?
Tarehe October 14, 2008 4:37 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
HONGERA sana makamanda. Waongoze vyema wapiganaji wa tarime, wapate maisha bora, na wawe mfano wa kuigwa na majimbo mengine yanayodanganywa kwa kofia, fulana na khanga. Ninapendekeza Tarime itambuliwe na kutangazwe na wapiganaji wote wa tanzania kuwa MAKAO MAKUU ya kampeni tutakayoibatiza "TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA". Ukiwekwa utaratibu mzuri tupo wadau wengi ambao tuko tayari kuchangia linalowezekana. Hii maana yake ni kwamba, vijana watatumwa kutoka majimbo yote tanzania kuja tarime kujifunza mbinu za kuendesha kampeni hiyo. Wapiganaji mnasemaje?
Comment hapo juu imetoka kwa mdau, website ya Michuzi
Mrithi wa chacha wangwe
.