Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Kwakweli issue ya Tarime ni ya ajabu. Naona wanataka kutekeleza sera za CHADEMA wakati CCM ndo ipo madarakani.

Hii haiwezekani, ni sawa na CCM (baadhi) zenji wanavyotaka kutekeleza sera za CUF huko Zanzibar!

FairPlayer, I know tu ni kwasababu katiba yetu iko messed-up big time, ila kama isingekuwa hivyo, Tarime ina kila sababu ya kutekeleza sera ya chadema maana 'Tarime district council' inaongozwa na Chadema. Ila, ningeomba tu hilo tuliache kwa leo na badala yake tutafakari kwa kina madai ya watu wa Tarime ambayo in all measures, ni ya msingi kabisa na yanatakiwa kusikilizwa.
 
First of all, heshima kwako mkuu.
Gustanza_The,
Mkuu hapa bado hujanipata hata kidogo..
Lowassa alipojiuzuru umesema wananchi wake walimpokea kwa shangwe sasa nambie kule kwao kuna madai gani yanayohusiana na rasilimali?..Issue hii hapa haihusiani na viongozi wachache Mafisadi ambao Tarime inataka kuwaondoa isipokuwa wananchi hawa kunufaika na rasilimali zao.

Kama hukunielewa vibaya, ndio maana [awali] nilisema kwamba: huwezi kufanya issue ya Tarime iwe applicable kwa watu wa chalinze, Mlandizi ama Kinyerezi [sasa nitaongeza Monduli], kwasababu watu wa hizo sehemu nilizozitaja hawana uchungu wa kile watu wa Tarime wanachotendewa, na pia hawatakuelewa kama leo hii ukienda [say, Monduli] na kuanza kukusanya sahihi za ku-petition serikali kuhusu madai ya watu wa Tarime coz kwao itakuwa sawa na hadithi za Marco polo aliporejea toka China na kuwambia wazungu alichokiona huko.

Kisha chukulia mawazo yangu kama ni usia mzuri na sio Upinzani kwa sababu swala hili linahitaji kuungwa mkono na wananchi Watanzania ili linapokwenda lipate kusikilizwa na pengine kupitishwa. Nachofanya ni kuwajengea hoja nyie ili ipate uzito na sio kukataa kile mnachojaribu kudai.

Mkuu tambua kuwa mawazo yako nayathamini mno! Na ndio maana tumekuwa na civil discussion since yesterday, hatukubaliana kwenye baadhi ya mambo, ila siwezi kudharau mawazo/oni yako. [You know, we can disagree without being disagreeable].

Ni Busara sana ku raise issue kwa kutumia maslahi ya Taifa yaani muswada mzima uhusu swala zima la mgawanyo wa pato la Taifa linalotokana na rasilimali zetu kisha, Hekima inaingia pale mtakapo tumia Tarime kama mfano na mwanzo wa harakati nzima za kuhakikisha kwamba wananchi wa Tarime watapata mnachokiomba. Sasa itakapo fika hawa wazungu kuingia hapo mtaweza kutumia hoja yenu kukataa uwekeshaji huo hadi solution imepatikana kuhusiana na mgao wa rasilimali zetu...
Hapo kila mbunge, kila mjumbe na wananchi kwa ujumla watakuwa nyuma yenu wakifahamu kufanikiwa kwa hoja nzima kutanufaisha wananchi wote. Lakini hadi sasa hivi madai yenu kila ninapoyasoma yamelenga kujitenga sawa sawa na Wazanzibar ambao wanaomba kitu ambacho hakiwezekani..!

Mkuu unaniangusha sasa. Tarime inachodai ni autonomy power kwenye few selected things,tofauti kabisa na Zanzibar inayo-advocate secession toka kwenye muungano. AUTONOMY & SECESSION ni vitu viwili tofauti kabisa.]

Catch this kuu: "It's too simplistic to advance the notion of the autonomy of art/[whatever]as a reason for turning away from the public. [But] you can have autonomy and simultaneously have connections with the social and political world."~~ Thom Mayne
 
FairPlayer,Mkandara,Gustanza_The,Isaya-Mwita,

..madai kama ya wana-Tarime yangetolewa na wachaga basi "pasingetawalika" hapa Jamii Forums. wangeitwa majina ya kila aina, na pengine kutukanwa matusi makubwa-makubwa.

..katika Tanzania ardhi ni mali ya umma. sheria ya ardhi na rasilimali zake kuwa mali ya umma aliiteta Baba wa Taifa, na unaweza kutafuta hotuba zake kuona hoja aliyojenga.

..walioathirika na sheria hiyo Tanzania siyo wana Tarime peke yao, wako wananchi wa maeneo mengi tu walioathirika.

..nasubiri kwa hamu kusikia hoja nzima itakapokamilika na kuwasilishwa. inaweza kupanda mbegu nzuri ama mbaya kwa taifa letu.

NB:

..hivi mgunduzi wa Tanzanite alipewa nini na serikali yetu zaidi ya cheti/karatasi??

Jokakuu,

Tazama unavyokuwa mtumwa wa mawazo yako, fuadi yako inakuongoza kuyasema haya pasipo kufiri, wewe unaendelea kufurahia haya tunayofanyiwa?

Naomba utambue kuwa Mji wetu wa Tarime ulijengwa na dhahabu iliyokuwa ikichimbwa na wachimbaji wadogowadogo, na mji wetu uliendelea kuneemeka hadi hapo tulipokuja kuporwa na serikali hii ya CCM. Tarime kwa sasa hatuna ajila, tumebaki mayatima, hatujui la kufanya.

Wale wazungu (wawekezaji)wamechukua ardhi yote yenye dhahabu, na sisi tumebaki hatuna pa kushika, cha kushangaza sisi ndiyo tulioigundua dhahabu hii, kama serikali ingetaka kuwekeza wangewatafutia maeneo ambayo hayajagundulia, wakafanya utafiti na kuwakabidhi hao wawekezaji.

Bado tunawapa serikali Muda wa kutafakari Jambo hii kwa kina.
 
Gustanz_The,

Mkuu naona bado kabisa hujatumia hekima ktk kuwasilisha hoja yako kwani hapa unachojaribu kujenga ni tofauti ya Tarime na Zanzibar..Kifupi mimi sioni tofauti kabisa kwani matumizi ya hili neno yanaweza kuwa na mapana sawa kabisa na madai ya Zanzibar.
Nijuavyo mimi Zanzibar wanachofanya ni kudai -The ability to govern herself (Zanzibar) hii habari ya kudai NCHI itakuwa haina maana kama swala la sovereign as a Country halipo ili wapate kujitawala wao. Sasa ktk confusion ya hiyo self governing ndipo wanapokuja na visa kuwa PM hana madaraka Visiwani..Hivyo usidanganywe na kichwa cha habari ambacho sisi hapa tunakitungia tunzi za kufikiria tu kuwa hao viongozi wana uroho ama tamaa ya madaraka lakini ukweli bado hawa jamaa wana seek Zanzibar self identity and concerption of rights ambayo mimi naona zina fall under autonomy..

Wanaweza kabisa kuwa na point nzuri kama Nyie ikiwa watajipanga vizuri lakini hadi sasa hivi wanaboronga tu kwa sababu hakuna ubaguzi ama tofauti yoyote baina yao na sehemu nyinginezo ambazo wao wanaweza kuzitumia kama mfano..Hivyo hivyo Tarime's role in social structures and political institutions kitaifa haina mapungufu ama tofauti na sehemu nyingine yoyote kiasi kwamba yule atakaye soma madai haya anaweza kuyaweka ktk mzani na kuona uzito ulipoegemea...lakini bob ikiwa Tanzania nzima hali ndio hiyo na kama nilivyosema hapo awali madai ya Tarime sio sehemu ya indiginous ambao pengine kutokana na utawala huu wametengwa na kunyanyaswa tofauti na wakazi wa Chalinze, Kinyerezi au Monduli ambao wanachanua unafikira huyo JK ama Pinda ataweza kuyaona vipi?..madai yenu yanahusiana na wazungu wawekeshaji (wageni) na upana wa madai kama yenu hayakuanza wala kukomea Tarime..Isipokuwa hali halisi ya yale yaliyotangulia kama Bulyanhulu, Tarime na kkwingineko kote yanaweza kujenga hoja nzito zaidi na kwamba sasa hivi wananchi wamechoka!

Ni muhimu sana iuweke picha wazi unapodai autonomy iwe ktk philosofia ya moral, social au political ikiwa madai haya yanakwenda kwa viongozi wetu, labda pengine ningekubaliana nanyi kama madai haya yangekuwa yanakwenda kwa serikali ya Canada kwa sababu hiyo ndio power inayomkingia kifua Barricks kama Malkia alivyokuwa akiwabeba makaburu!

Na ndio kitu nachokiona hata Zanzibar ambao kila siku wanadai hili ama lile na nikiwatazama kwa ukaribu nakuta nyufa kibao.. Hawa jamaa zetu kwanza hawana hata asili ya pale ni watu wa kuja wenye asili ya Bara, Comoro ama Arabuni na hawa watu wana nguvu kuliko hata yule Mzazibar asilia hana, kisha historia inatuonyesha jinsi hawa watu walivyowatenga na kuwanyanyasa hawa wazawa indiginous...na leo hii hawathaminiki kabisa kiasi kwamba wengine hujipachika uarabu ama Ungazija ili mradi tu asionekane mtu wa kale.

Kwa hiyo mkuu nasisitiza kuwa kaeni upya myaweke mapendekezo yenu sawa laa sivyo mtaliwa tena bila support.. pengine tumieni hata vyama vya Upinzani kama Chadema ama mtu kama Zitto, Dr. Slaa na Lissu ktk kujiandaa, wekeni hili swala kitaifa na pengine tumieni kipande cha Rev. Kishoka kinachohusiana na rasilimali zetu kisha ktk msisitizo wa hoja nzima mnaweza kuweka deadline kiasi kwamba sio tu wakulu wataitazama Tarime ila watajua sasa Watanzania kwa hesabu ya millioni 40 wamekuja juu! na hawawezi kutumia propaganda za Ukurya ama UTarime kuwa ati wanadai kujitenga... undoeni ile dhana ya kuitenga kimawazo kwani mkuu hakuna mtu aliyelala Tanzania isipokuwa tulichokosa ni UMOJA baada ya njaa kali!.. Unajua mkuu ukiwaacha mbwa muda mrefu bila kula kisha ukaja watupia mfupa mkuu hakuna cha mzazi kumwona mwanae atamtia hata meno kwa kipande cha mfupa...

Mkuu, Pamoja na dharau zako za makabila mengine lakini kummbuka tu huwezi kuweka chandarua kuzuia mbu wakati kumekwisha kucha! Usiku mzima umekung'ata leo waja shtuka jua la adhuhuri! hao wazungu toka wameingia na kuwekesha tena wamepewa ardhi hiyo hadi siku madini yatakapo kwisha...Mlkuwa wapi siku zote hali mlisoma yaliyowakuta Bulyanhulu! Na kwa fikra zako unafikiria nani atawasikiliza nyie wakati ktk meza itakayotazama swala zima ni watu wa mikoa na wilaya nyinginezo ambao wanaamini kabisa kuwa ardhi ya Tarime ni mali ya Taifa na itatumika kwa manufaa ya nchi nzima!..Haiwezekani hata kwa kufikiria kuwa Tarime wanaweza kupata sheria fulani ya madini tofauti na wilaya nyinginezo ati kwa sababu watu wa huko Chalinze wamelala..mtapewa nyinyi dose mpate kulala kama wengine ili kazi isiwe ngumu zaidi. Ni rahisi kuwalaza Tarime kuliko kuwaamsha Watanzania wote...
 
Mkandara,

Hakika sikia Mkandara hawa jamaa(wenzatu yaani watanzania wa seheme nyingine) hawataki kupigania haki zetu, uwekezaji ndani ya Taifa letu umeshindwa kwenda sambamba na haki wa wazawa kitu tunachokipinga na tutaendelea kukipinga.

Tarime ni chachu kati ya chachU nyingine, tutakachokifanya na ndugu zetu wazalendo wataiga tu, hakika kama serikali haitalifanya jambo hili kwa hekima kubwa basi tutarajie mengineyo kujiri, tunasubiri kumpata Mbunge wetu tena,na kwa kuwa Tarehe kwa uchaguzi imebainika basi tutajielekeza huko na baada ya hapo tutaanza kujielekeza katiak kujitetea na si vinginevyo.

Tunajua serikali yetu iko kwenye hotsoup, kiasi kwamba haya hawayatazami kwa sasa.

Mungu ibariki Tanzania
 
Mkandara na Gustanz_The na wengineo,

Mi naona Tarime ni mfano wa watanzania wanavyoamka toka usingizi torororo.

Mi ningeomba kila sehemu wadai wanavyoona wanastahili. Kama serikali imelala basi waziachie Local govt wajiendeshe na kupewa baadhi ya mamlaka.

Ni mawazo yangu tu.
 
Gustanz_The, Mkuu naona bado kabisa hujatumia hekima ktk kuwasilisha hoja yako kwani hapa unachojaribu kujenga ni tofauti ya Tarime na Zanzibar..Kifupi mimi sioni tofauti kabisa kwani matumizi ya hili neno yanaweza kuwa na mapana sawa kabisa na madai ya Zanzibar.
Nijuavyo mimi Zanzibar wanachofanya ni kudai -The ability to govern herself (Zanzibar) hii habari ya kudai NCHI itakuwa haina maana kama swala la sovereign as a Country halipo ili wapate kujitawala wao. Sasa ktk confusion ya hiyo self governing ndipo wanapokuja na visa kuwa PM hana madaraka Visiwani..Hivyo usidanganywe na kichwa cha habari ambacho sisi hapa tunakitungia tunzi za kufikiria tu kuwa hao viongozi wana uroho ama tamaa ya madaraka lakini ukweli bado hawa jamaa wana seek Zanzibar self identity and concerption of rights ambayo mimi naona zina fall under autonomy...

Mkuu hapa nitatafautiana na wewe kidogo. Natambua kuwa unaamini kabisa unachokizungumza hapa, ila I think unachanganya matumizi ya haya maneno mawili [autonomous & secession]. Penginepo tu niyatofautishe kwa ufupi ili tunapoendelea huko mbele, ufahamu bayana ni kipi Tarime wanachodai.

First, an autonomous region/county/community is a region/county/community with special powers of self-rule. Emphasis zaidi kwenye neno 'special power' coz Autonomy is not independence. Chukulia kwa mfano People's Republic of China. China ina autonomous regions kibao kiasi kwamba kuna hadi counties ambazo zina 'special power'/uwezo wa kutunga sheria na ku-run mambo yao wenyewe bila kuingiliwa na central government ya Beijing. Lakini haimanishi kuwa hizo regions/counties haziitambui serikali ya Beijing kuwa ndiyo yenye absolute power inapokuja kwenye masuala makubwa kama vile masuala ya kijeshi, foreign policy, etc...

While secession is simply the withdrawal of a State from the national Union. Hiki ndicho wazinzibar wanachokidai.

..lakini bob ikiwa Tanzania nzima hali ndio hiyo na kama nilivyosema hapo awali madai ya Tarime sio sehemu ya indiginous ambao pengine kutokana na utawala huu wametengwa na kunyanyaswa tofauti na wakazi wa Chalinze, Kinyerezi au Monduli ambao wanachanua unafikira huyo JK ama Pinda ataweza kuyaona vipi?..madai yenu yanahusiana na wazungu wawekeshaji (wageni) na upana wa madai kama yenu hayakuanza wala kukomea Tarime..Isipokuwa hali halisi ya yale yaliyotangulia kama Bulyanhulu, Tarime na kkwingineko kote yanaweza kujenga hoja nzito zaidi na kwamba sasa hivi wananchi wamechoka!

Penginepo labda umesoma original thread kwa haraka, and/or hukuwa na muda wa kutosha ku-digest kile ambacho TCAG (Tarime Citizens Action Group) wanachokidai—coz ukisoma original thread vizuri, hakuna sehemu inayozungumzia issue ya indiginous kama kigezo cha wao kudai "autonomous status." Ila naelewa point yako hapa ni nini mkuu: I think wewe umechukulia autonomus communities mathalani za sehemu kama Spain ambazo typically zinahuisha minority group(s) ambazo ni tofauti na majority group(s) uka-conclude kwamba autonomous regions/communities zote zinaangukia kwenye kundi hilo la indiginous peke yake [which is not true].

Mkuu, Pamoja na dharau zako za makabila mengine lakini kummbuka tu huwezi kuweka chandarua kuzuia mbu wakati kumekwisha kucha! Usiku mzima umekung'ata leo waja shtuka jua la adhuhuri! hao wazungu toka wameingia na kuwekesha tena wamepewa ardhi hiyo hadi siku madini yatakapo kwisha...Mlikuwa wapi siku zote hali mlisoma yaliyowakuta Bulyanhulu!

Mkuu, inaelekea hujui kabisa historia ya wakazi wa Tarime vs upingaji wa makampuni ya kigeni!! Hawa jamaa (watarime) wamekuwa wakipinga hizo kampuni za uchimbaji wa madini tangu kipindi cha mkoloni. Usidhani kwamba Barick ndio watu wa kwanza kutia mguu Tarime. Kuna makampuni mengi sana yamejaribu siku za nyuma nakushindwa vibaya mno kutokana na fierce resistence waliyoipata toka kwa local citizens. Hata hao Barick (kipindi hicho bado ikiitwa East Africa Gold Mine) waliwahi ku-face the same resistance mpaka pale walipowaweka sawa RC, DC, RPC, na viongozi wengine wakubwa wa ngazi za juu [mkoa/kitaifa ] ambao baada ya kunyweshwa Safari lager, ghafla wakaanza kutumia deadly force ili kuhakikisha kuwa mzungu anachimba dhahabu ya Tarime apendavyo whether watarime watake ama wasitake. Mathalani, itakumbukwa kuwa mwaka 94/95 (kama sikosei) kulikuwa na uprise ya nguvu huko Nyamongo, Tarime kiasi kwambwa FFU ndio waliokuja kutuliza hiyo uprise. Na hata baada ya hiyo uprise kuwa imezimwa, bado kumeendela kuwa na sporadic uprising ambazo zimekuwa zikiendela ila nisema tu media za kibongo hazijawapa enough attention watu wa Tarime. So next time usijenge hoja kama huna hard evidence za ku-back hoja yako.

...Haiwezekani hata kwa kufikiria kuwa Tarime wanaweza kupata sheria fulani ya madini tofauti na wilaya nyinginezo ati kwa sababu watu wa huko Chalinze wamelala..mtapewa nyinyi dose mpate kulala kama wengine ili kazi isiwe ngumu zaidi. Ni rahisi kuwalaza Tarime kuliko kuwaamsha Watanzania wote...

That's what I call "spirit of defeatism." What you just don't know is that— Tarime People are very resillient. Just because watu wa wilaya zingine wamelala usingizi, haimanishi kuwa watu wa Tarime nao watalala usingizi wakipatiwa hicho unachokiita "dose."
 
KATIBA ya NCHI inasemaje kuhusu madai haya ya watu wa Tarime? Haya wanayoyataka yanatekelezeka? Hakuna njia nyingine ya kuyatatua? Ninavyoifahamu Tarime na watu wake, hata kama watapewa hiyo autonomous itaishia kwa wao kuchinjana wenyewe kwa wenyewe. Wanyamongo watadai madini yale ni ya UKOO wao tu na sio Wakurya wote wa Tarime.
 
Ninavyoifahamu Tarime na watu wake, hata kama watapewa hiyo autonomous itaishia kwa wao kuchinjana wenyewe kwa wenyewe. Wanyamongo watadai madini yale ni ya UKOO wao tu na sio Wakurya wote wa Tarime.

You're a big liar!! Koo za Tarime zimekuwa zikichimba hayo madini kwa pamoja vizazi nenda rudi, ni kitu gani hicho kitakachowafanya wabadilike ghafla na kuanza kuchinjana endapo kama watapewa hiyo "autonomus status" wanayoidai?

You know, the thing that bothers me the most is the notion kwamba wakurya wanachokijua ni kuchinjana wenyewe kwa wenyewe, wakati the exact opposite is true.
 
Kwa nini sasa hivi kuna mapigano ya hizi koo? Nyumba na mashamba vinachomwa kwa sababu gani?
 
Gustaza mimi niko tarime muda huu tafadhali naomba mawasiliano na hao jamaa zako wa huku ni muhimu sana kama ikiwezekana tunaweza kuwa na conference na wewe kwa njia ya mtandao tokea huku naomba namba yako kwa private kabla ya saa 7 mchana kwa sababu nitatoka kurudi dom

ahsante
 
Heshima Mbele,

Jana Tume ya uchaguzi imetangaza tarehe ya uchaguzi wa jimbo la tarime ambalo lilikuwa likishikiriwa na Mareheme Chacha Wangwe ambaye alifariki kwa ajali ya gari akitokea dodoma.

Chacha wangwe alikuwa Mbunge kupitia Tiketi ya CHADEMA na alikuwa kipenzi cha watu wa Mji wa Tarime has kijijini kemakorere

Naomba sasa tuanze mjadala kuelekea 12th October 2008.

Tuangalie ni nani atakayeibuka Mshindi.Pia tuangalie changamoto za vyama vya siasa ili kujua watamchagua nani kuwakilisha chama chao.

Je CHADEMA wataendelea na ushindi katika jimbo hilo?
Je NCCR,CUF na TLP wataweza kuwashawishi wananchi?
Je CCM itatumia Mbinu zipi kulichukua Jimbo hilo?

Naomba kuwakilisha,
 
Last edited by a moderator:
CUF,TLP na NCCR wameshaanza vikao vya kusimamisha mgombea wao
 
Wazee Mko wapi kujadili hili..au bado muda muafaka haujafika
 
Je CHADEMA wataendelea na ushindi katika jimbo hilo?
Je NCCR,CUF na TLP wataweza kuwashawishi wananchi?
Je CCM itatumia Mbinu zipi kulichukua Jimbo hilo

Patamu hapo
 
Gustanza_The,
Mkuu Zanzibar walichokuwa wanataka ni power ya ku run mambo yao wenyewe kufikia maamuzi yao wenyewe kama vile majimbo ya nchi hizi za magharibi (States au Province) kwa aina fulani wanaona maamuzi mengi yanafanywa toka serikali kuu. Rejea maelezo yangu hapo juu kuhusiana na migogoro yote hii.
Tofauti kati ya Zanzibar na Tarime ni kwamba Zanzibar tayari wamekwisha pitia hatua ambazo nyie mnataka kuzifanya baada ya kutofanikiwa, hivyo wanasema kwa lugha kama yenu Zanzibar hakukaliki....
Tarime on the other hand kama matakwa yenu hayatafikishwa bgila shaka swala la kutaka kujitenga ndio next move!...
Kifupi mnachojaribu kufanya hapa ni kuweka nguvu za majimbo lakini kibaya ni kwamba mnatafuta kwa wilaya kutokana na kidogo mlichokuwa nacho..
Ajabu ya maskini ndio hiyo akipata kidogo matako hulia mbwataaa! Ni hatua mabayo kila kata, wilaya na hata kufikia mikoa itaanzxa kulia kwa sababu leo hii Tanzania tunagawana Umaskini..
Hili ni tatizo la Utawala wa juu yaani CCM. Nchi yetu ni maskini na baada ya kifo cha mzazi wetu yaani UJAMAA, mirathi iliyopo tunataka kugawana badala ya ku invest kile kilichopo kizalishe tupate kuondoka ktk umaskini kwanza halafu ziada ya mapato ndiyo itumike ktk kugawana. Lakini mfumo uliopo leo hii unagawa mirathi ya Taifa na maombi yenu dhahiri ni tafsiri ya mtu ambaye haoni kufaidika na mirathi hiyo hivyo anachotafuta ni kugawiwa chake..Bila shaka hata katika familia zetu mtu anayeomba agawiwe fungu lake huwa hana maana kuwa anajikata kjabisa na familia laa hasha anaweza kuwa in touch na familia na pengine maamuzi mazito ya kifamilia kufanywa na wakubwa wake lakini chake ni chake..
sasa tazama familia maskini zilizogawana mirathi ambao ulikuwa mtaji mdogo sana matokeo yake hakuna kilichoendelkea..
Madini yenu kwa kutumia nguvu ya wilaya nakwambia wawekeshaji hawawezi kuja kwa sababu hakuna security ya biashara na Tarime itawekwa ktk fungu la high risk business..Hata kama wachimbaji wadogo wadogo watapewa uwezo wa kujiendesha mnaweza kabisa kuwekwa ktk kitabuy cheusi kuwa dhahabu ya Tarime ina kasoro fulani ili mradi tu mshindwe..
Muhimu mkuu ni lazima sisi tucheze kama Wachina, kwa kutumia Utandawazi na sheria zake tutafute mbinu za kuutumia dhidi ya nchi hizo za magharibi kiasi kwamba wajikute wanajuta...
Ni hayo tu kwa leo...
 
Gustaza mimi niko tarime muda huu tafadhali naomba mawasiliano na hao jamaa zako wa huku ni muhimu sana kama ikiwezekana tunaweza kuwa na conference na wewe kwa njia ya mtandao tokea huku naomba namba yako kwa private kabla ya saa 7 mchana kwa sababu nitatoka kurudi dom

ahsante

Upo tarime wakati nimekuona mchana huu Dar?. Unaruka na Ungo nini?
 
isaya-mwita said:
Jokakuu,
Tazama unavyokuwa mtumwa wa mawazo yako, fuadi yako inakuongoza kuyasema haya pasipo kufikiri, wewe unaendelea kufurahia haya tunayofanyiwa?

isaya mwita,

..kwanza punguza jazba na mahasira-hasira yasiyokuwa na msingi.

..sijasema kwamba naunga mkono dhuluma zinazowakabili wana Tarime.

..lakini nimekuelekeza kwamba dhuluma hizo zipo karibu kila mahali ambapo kuna madini ktk Tanzania yetu.

..kwa msingi wa hoja hiyo hapo juu, ni bora mkaunganisha harakati zenu na wananchi wa maeneo mengine yenye matatizo kama yenu ili kuleta SURA YA UTAIFA ktk madai yenu.
 
Kwa nini sasa hivi kuna mapigano ya hizi koo? Nyumba na mashamba vinachomwa kwa sababu gani?

Haya mapigano unayoyasikia (mengi yakichochoewa na vyombo vya habari visivyojua historia ya Tarime), yamejengeka mainly kwenye masuala ya mifungo. Wakurya kwa traditional zao wanathamini sana mifungo kuliko kitu kingine, sasa koo fulani ikifanya vitendo ambavyo ni illegal kwa kutaka kuhozi mifungo ya koo nyingine, then lazima punishment itatolewa kwa koo iliyotaka kuhozi mifungo (isiyoyake) illegally. So, this has nothing to do na uchimbaji wa dhahabu, na hili tatizo halitaisha leo wala kesho (either hata kama Tarime watapewa hiyo "autonomus status" au la).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom