Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
kushambuliwa kwa Dr. Mvungi wa NCCR huko Tarime Mara na wanaosemekana ni wafuasi wa CHADEMA. Dr. Slaa amebuka na kuwaunga mkono wananchi wa Tarime kwani kauli za mvungi ndio zilimponza. Dr. Slaa amesema haungi mkono vurugu lakini uvumilivu ukifika kikomo yanaweza kutokea yaliyotokea. amemwambia Dr. Mvungi asilaani wananchi bali alaani ulimi wake
.

Dr. Slaa,

Kama kawaida siku zote hapa JF tunajadili taarifa kama inavyoletwa. Niliyoandika yote yanatokana na maandishi hapo juu. Kama unakana kwamba hukusema maneno kama hayo basi niliyoyaandika yote nayafuta.

Ni kweli mimi sijasoma gazeti, ila kwasababu uko hapa JF basi una uwezo wa kutuambia ulichosema.

Kama unasema Dr. Mvungi asiwalaani wananchi waliomshambulia kwa mawe? Je Dr. Slaa unawalaani hao vijana waliomshambulia Dr. Mvungi kwa mawe?
 
Dr.W.Slaa: Ben na wana JF

1. Nimefuata mjadala kwa karibu sana. Nadhani tatizo ni kuwa wengi wame react kwenye kilichokuwa posted kwenye thread hii na hawakusoma aliyoyasema Dr. Mvungi, ambayo hajayakanusha. We need to be scientific in our approach to issues.

i) Kauli ya Dr. Mvungi niliyoijibu ilitoka kwenye TBCl, Daily News na Mtanzania ya September, 4th, 2008. Dr. Mvungi hajakanusha.

2) Dr. Mvungi ametoa pia Kauli kali dhidi ya "Chadema" kama Chama. Dr. Mvungi ni msomi aliyebobea anapaswa kujua tofauti kati ya Mashabiki, na Wanachama wa Chadema, na Chadema anayoituhumu na kutaka imwombe msamaha.

3) Dr. Mvungi amenukuliwa akisema " Chama cha Ushindani kimekiri kuwa hakitaki washindani wengine wawepo, hivyo vyama vingine vitoweke kibaki chenyewe tu na chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Upinzani kiitwacho CHADEMA, kimetumia hoja ya mawe badala ya kudhihirisha demokrasia". Haya ni maneno mazito, hasa yanapotoka kwa msomi. Ni hatari, na yakiachwa hivi hivi, ndiyo Taifa hili linapelekwa korongoni na wanasiasa wa aina hii.

4. Dr. Mvungi anatakiwa atamke Chadema imekiri wapi, na kwa njia gani? na wapi? Dr. Mvungi anatakiwa aeleze umma wa Tanzania ni wapi Chadema imesema haiwataki wapinzani au vyama vingine? Wananchi wanaosoma magazeti lakini si wachambuzi wanaelewa nini? Siasa ni Sayansi na si udanganyifu ndio maana Chadema haiko tayari kuvumilia upotoshwaji wa aina hii.

4) Dr. Mvungi angekuwa mkweli angelieleza ni katika hatua ipi alipigwa mawe, na neno gani alikuwa amelitamka lililoamsha hasira ya Wananchi. Anataka kumdanganya na kumpotosha nani?

5) Kauli ya Dr. Slaa imetanguliwa na kulaani watu, wananchi wanaochukua sheria mikononi mwao na kuwa sikubaliani na mashabaki au wanachama kupiga watu.

6. Nilichoeleza ni kuwa Dr. Mvungi akumbuke kwenye nchi jirani watu wameenda msituni kutokana na kauli za viongozi na wanasiasa.

7. Nikakemea viongozi wote wanaotumia vibaya ndimi zao, kama Dr. Mvungi. Nikaeleza kuwa "uvumilivu una mwisho" na mtu akashawishika kuchukua hatua baada ya kuwa provoked kwa kiasi alichofanya Dr. Mvungi, asilalamike wala kumtafuta mchawi ila aulaumu ulimi wake.

8. Haya ndiyo niliyoyasema on the basis of statements za Dr. Mvungi.
Mheshimiwa Dr. Slaa,

Quote: Mtanzania

1. Pamoja na kukubaliana na yote uliyoyaandika hapo lakini two wrongs don't make a right.

2. Hao vijana kuamua kumpiga Dr. Mvungi mawe ni makosa na kiongozi yeyote wa siasa au dini lazima alaani vitendo kama hivyo.

3. Kama Dr. Mvungi ameongea uwongo au kuchochea vurugu, sheria zipo na inabidi zifuatwe lakini sio watu kujichukulia sheria mikononi kwa visingizio vyovyote vile.

4. Hivi kama umeshindwa kuwalaani hao vijana leo, utakuwa na moral authority gani kuwalaani vijana wa CCM wakiamua kuwashambulia viongozi wa CHADEMA wakihutubia?

Mkuu Mtanzania,

Heshima yako tena bro, Dr. Slaa amesema wazi kwenye kifungu cha 5 kwamba amelaani kwanza vitendo hivyo, halafu hii habari ya muanzisha mada tuliyoletewa inaonekana kuwa haikuwekwa yote, tuliwekewa yale tu mtoa mada aliyoyataka tuamini, lakini kwa maelezo ya Dr. Slaa hapo juu ni clear kuwa tumechezewa, labda tu umuombe radhi Dr. Slaa kwa kumshambulia bila ya kuwa na ukweli wote kuhusu original habari yenyewe, au?

Kwa sababu kwa maneno ya Dr. slaa sio hata clear kama Mvungi alipigwa hayo mawe!
 
Masatu,
You do not win Tarime kwa kushirikiana na watu wanaohubiri shari.

Mkuu Jasusi,

Haya maneno yako yamenirudisha mwaka 1995 jinsi NCCR walivyokuwa wanaongea pale walipokuwa wanaambiwa kuungana na CHADEMA.

Kilichobadilika sasa ni kwamba maneno hayo yanasemwa na wapenzi wa CHADEMA dhidi ya NCCR.

Laiti tungelikuwa tunajifunza kutokana na makosa ya nyuma, kama nchi leo hii tusingelikuwa hapa tulipo.

Nikipata muda nitatafuta baadhi ya statements za akina Mrema, Marando, Mbatia na wengine wakati huo zikielekezwa kwa akina Mtei na wenzake.

Ndio maana wengine tunacheka tu. Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Dr.W.Slaa: Ben na wana JF

1. Nimefuata mjadala kwa karibu sana. Nadhani tatizo ni kuwa wengi wame react kwenye kilichokuwa posted kwenye thread hii na hawakusoma aliyoyasema Dr. Mvungi, ambayo hajayakanusha. We need to be scientific in our approach to issues.

i) Kauli ya Dr. Mvungi niliyoijibu ilitoka kwenye TBCl, Daily News na Mtanzania ya September, 4th, 2008. Dr. Mvungi hajakanusha.

2) Dr. Mvungi ametoa pia Kauli kali dhidi ya "Chadema" kama Chama. Dr. Mvungi ni msomi aliyebobea anapaswa kujua tofauti kati ya Mashabiki, na Wanachama wa Chadema, na Chadema anayoituhumu na kutaka imwombe msamaha.

3) Dr. Mvungi amenukuliwa akisema " Chama cha Ushindani kimekiri kuwa hakitaki washindani wengine wawepo, hivyo vyama vingine vitoweke kibaki chenyewe tu na chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Upinzani kiitwacho CHADEMA, kimetumia hoja ya mawe badala ya kudhihirisha demokrasia". Haya ni maneno mazito, hasa yanapotoka kwa msomi. Ni hatari, na yakiachwa hivi hivi, ndiyo Taifa hili linapelekwa korongoni na wanasiasa wa aina hii.

4. Dr. Mvungi anatakiwa atamke Chadema imekiri wapi, na kwa njia gani? na wapi? Dr. Mvungi anatakiwa aeleze umma wa Tanzania ni wapi Chadema imesema haiwataki wapinzani au vyama vingine? Wananchi wanaosoma magazeti lakini si wachambuzi wanaelewa nini? Siasa ni Sayansi na si udanganyifu ndio maana Chadema haiko tayari kuvumilia upotoshwaji wa aina hii.

4) Dr. Mvungi angekuwa mkweli angelieleza ni katika hatua ipi alipigwa mawe, na neno gani alikuwa amelitamka lililoamsha hasira ya Wananchi. Anataka kumdanganya na kumpotosha nani?

5) Kauli ya Dr. Slaa imetanguliwa na kulaani watu, wananchi wanaochukua sheria mikononi mwao na kuwa sikubaliani na mashabaki au wanachama kupiga watu.

6. Nilichoeleza ni kuwa Dr. Mvungi akumbuke kwenye nchi jirani watu wameenda msituni kutokana na kauli za viongozi na wanasiasa.

7. Nikakemea viongozi wote wanaotumia vibaya ndimi zao, kama Dr. Mvungi. Nikaeleza kuwa "uvumilivu una mwisho" na mtu akashawishika kuchukua hatua baada ya kuwa provoked kwa kiasi alichofanya Dr. Mvungi, asilalamike wala kumtafuta mchawi ila aulaumu ulimi wake.

8. Haya ndiyo niliyoyasema on the basis of statements za Dr. Mvungi.
Mheshimiwa Dr. Slaa,

Mkuu Mtanzania,

Heshima yako tena bro, Dr. Slaa amesema wazi kwenye kifungu cha 5 kwamba amelaani kwanza vitendo hivyo, halafu hii habari ya muanzisha mada tuliyoletewa inaonekana kuwa haikuwekwa yote, tuliwekewa yale tu mtoa mada aliyoyataka tuamini, lakini kwa maelezo ya Dr. Slaa hapo juu ni clear kuwa tumechezewa, labda tu umuombe radhi Dr. Slaa kwa kumshambulia bila ya kuwa na ukweli wote kuhusu original habari yenyewe, au?

Kwa sababu kwa maneno ya Dr. slaa sio hata clear kama Mvungi alipigwa hayo mawe!

FMES,

Dr. Slaa yuko hapa, na amesoma hii thread, kama hakusema hayo maneno basi atasema na tutaendelea kutokea hapo.

Nimesoma alichoandika na nawafahamu wanasiasa wanavyochagua maneno. Kwasababu yupo, mwache ajibu mwenyewe nilichoandika hapo juu na kama atakanusha hayo maneno na kuwalaani hao vijana waliomshambulia Dr. Mvungi, nitakuwa wa kwanza kumwomba msamaha.
 
5) Kauli ya Dr. Slaa imetanguliwa na kulaani watu, wananchi wanaochukua sheria mikononi mwao na kuwa sikubaliani na mashabaki au wanachama kupiga watu.

Eti haya si maneno ya DR. Slaa, au kuna something nina-miss hapa?
 
7. Nikakemea viongozi wote wanaotumia vibaya ndimi zao, kama Dr. Mvungi. Nikaeleza kuwa "uvumilivu una mwisho" na mtu akashawishika kuchukua hatua baada ya kuwa provoked kwa kiasi alichofanya Dr. Mvungi, asilalamike wala kumtafuta mchawi ila aulaumu ulimi wake.

Kwenye maneno hayo kuna tatizo kubwa sana. Hata mtu awe provoked hawezi kujichukulia sheria mkononi. Maneno kama hayo yanaposemwa na kiongozi inakuwa tatizo kweli kweli.
 
Hizo vurugu zakumpa kipigo mvungi hazijapikwa kweli na RA.na magazeti yake?
 
Hivi hicho kipigo kwa mvungi hakijapangwa kweli na RA? ama ni mipango ya ku equalize mambo nini?
 
Mhe. Dr.Slaa,

Umefanya jambo jema sana kuja kuweka facts hapa maanake tulikua tunashuhudia baadhi ya watu wazima na wasomi wakidandia hoja na kuupotosha umma hapa.

Hata baada ya dr. kuweka mambo sawa hapa na baadhi ya watu kugundua kosa lililofanyika bado imekua ngumu kwa hao waungwana ku-withdrawal statemnt zao na hii ni kwa sababu kile walichoamini hawtaki kibadilike n kuwa kingine kizuri.

wakuu wote,Fmes bravo kwa nondo zako,jasusi,mtanzania,joka kuu nk. heko kwa kuchangamsha mjadala
 
Maina Owino wa CCM London yuko wapi? Si aje agombee jamani hiyo nafasi ya Ubunge kule Tarime!!!!! 1
 
Mhe. Dr.Slaa,

Umefanya jambo jema sana kuja kuweka facts hapa maanake tulikua tunashuhudia baadhi ya watu wazima na wasomi wakidandia hoja na kuupotosha umma hapa.

Hata baada ya dr. kuweka mambo sawa hapa na baadhi ya watu kugundua kosa lililofanyika bado imekua ngumu kwa hao waungwana ku-withdrawal statemnt zao na hii ni kwa sababu kile walichoamini hawtaki kibadilike n kuwa kingine kizuri.

wakuu wote,Fmes bravo kwa nondo zako,jasusi,mtanzania,joka kuu nk. heko kwa kuchangamsha mjadala

Ben,

Waachie wana JF waamue kama hayo maneo hapo juu hayakusemwa na Dr. Slaa. Kwasababu wewe unaamini tofauti haina maana wengine wana makosa.

Tatizo kubwa sana kwa Tanzania tunayotaka kuijenga ni double standards. Hili mimi naliona hapa, naliona kwenye maamuzi ya serikali na naliona hata kwa wasomi ambao tunaongoza kulalamika huku sisi tunatenda hayo hayo.

Naamini maneno ya Dr. Slaa yangesemwa na kiongozi wa CCM ungelikuwa wa kwanza kulalamika hapa.

Tatizo kubwa la wengi wetu ni kutokujifunza. Hivi yakitokea yale ya Kiteto na CCM nao wakasema walikuwa provoked, kweli mtatoa wapi moral authority ya kulaani kitendo hicho?

Tarime inakuja wacha tusubiri na tuone double standards za Watanzania.
 
Upinzani wakichukua hilo jimbo mimi nitafurahi sana. msimamo wangu ni ule ule, sitaki chama kimoja kiwe na majority kama walivyo CCM sasa.

Lakini inaelekea sumu imeshaanza kusambazwa kwani wapinzani wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe. Itakuwa vigumu sana wapinzani kurejesha jimbo hilo tena. CCM janja sana
 
Mtanzania,

Uko right, but ninachopinga ni hii kasumba ya watu kutaka first hand information na wanapogundua kwamba wao walikua wrong kutokana na hawakuwa na back up data nzuri bado wanaendelea na misimamo yao.Yaani kasumba ya aina hii haitakaa ijenge hata siku moja.

Dr. Slaa alishalaani hizo vurugu,nadhani hata mkuu FMES alihisi labda kuna kipengele hasa kile cha kulaani hizo vurugu watu walishindwa au kwa makusudi waliamua kutokiona katika maelezo ya Dr. Slaa,ikabidi akiweke separately but ilishangaza kuona bado kuna watu wamegoma kubadili walicho nacho akilini.

Je,mkuu ulitaka Dr.slaa alaaani tu hizo vurugu bila kuongelea makosa aliyofanya Dr.Mvungi? Is this not a doble standard?

Mazingira ya vurugu za CCM kule Kiteto ilikua ni tofauti kabisa na ya huko Tarime.Hilo hasa ndilo kosa kubwa sana la wanasiasa wengi hapo nyumbani,hawana uwezo wa kusoma saikolojia ya audience.Na hili suala la CCM kutumia vyombo vya dola lina mwisho wake,Very soon watakoma kama walivyokoma kunyonya ziwa la mama.

Sisi ndio wananchi tunaolipa kodi za kuwalipa hao FFU wanaotumika against sisi,ipo siku watakabiliana na action movement wakidhani wanakuja kuwanyanyasa walalahoi maanake hata matumizi ya FFU kwa interest zao imeshahalalishwa hadi kufikia hatua wanawita vijana wao.Ila jambo moja la msingi hata hao FFU inafaa watambue kwamba wao ni sehemu ya Tanzania na ni ndugu zetu.Vuguvugu la kimapinduzi au Radical Changes hata siku moja halitashindwa na vyombo vya dola.Historia inasema hivyo,ni ukweli mchungu kwa wengine but that is the fact!
 
Lakini inaelekea sumu imeshaanza kusambazwa kwani wapinzani wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe. Itakuwa vigumu sana wapinzani kurejesha jimbo hilo tena. CCM janja sana

Mkuu,

All in all ujanja wao una kikomo but Mtaji wao ni njaa kali ya watanzania,wananchi kutokua na elimu ya kutosha ya uraia,kuwa na viongozi wanafiki kwenye kambi ya upinzani ambao hawana haja na matunda ya demokrasia ya kweli nchini as long their selfish interests are fullfilled.

Very,soon tutaanzisha movement inayoambatana na utoaji elimu kali ya uraia kwa wananchi halafu tuone CCM itasimama kiasi gani.Trust me buddy CCM inapumua hewa ya mwisho kwa sasa.
 
Dk Mvungi alipopata nafasi ya kukutana na wanatarime, ilikuwa ni fursa ya kuendeleza kutoa elimu ya uraia. lakini yeye (kama tukiyaamini maneno ya Dk Slaa) alianza kuwakandia wenzake. Tufafika kweli?
 
Tuna kaazi kweli and it is rather dissapointing kuona huyo msomi aliyetukuka anaendesha siasa za aina hiyo.It is so sad but true.Mungu ibariki Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom