MKUDE WA MGETA
Member
- Sep 10, 2008
- 27
- 0
Huyu jamaa nayeee///////
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika nchi huru - kila mtu ana uhuru wa kusema/kuongea - sasa walitaka asiseme anayoyajua yeye?? Hao vijana wakamatwe na kuhojiwa kwani ujasiri wa kumpiga mtu mawe unatokana na nguvu iliyoko nyuma ya mpiga mawe - kama sio shetani basi rushwa/hongo au???????
Wananchi walipandwa na hasira na kuwaomba polisi wamkamate kwa kufanya uchochezi lakini polisi wakamuacha aendelee kusema na kugawa makaratasi yenye maneno yake kuwa Mbowe, Mengi, Ndesa, Slaa, Mnyika na Zitto ndio waliopanga na kumuua Chacha Wangwe kwa kutuma vijana wamchome Kisu na baadaye kumpiga na nyundo. Hapo ndipo wananchi wakamgeukia na kumpiga mawe
..............habarindiyohiyo
Mtikila atakuwa alikwisha waandaa watu wa first-aid. He must have anticipated this reaction, and perhaps expected the worse
Hehehehe
Leo nimejikuta nacheka tu... This reminds me mswahili...
Yangu mimi macho!
Sidhani kwamba kusema Chadema wamemuua Wangwe pekee kunatosha kuwapa wananchi sababu za kumpa kura mgombea wa DP (Chama cha Mtikila)Lakini alionywa mapema asiende na gia ya kifo cha Chacha sasa kama ameingia kwa gia hiyo basi ndo mshahara wake....kwa nini asinge anza na sera za kummaliza Rostam?? angeenza na gia ile kuwa zile milioni 3 kesha lipa angefagiliwa...
I do! He should stop poking his nose in other people's businesses.
Mzee Mwanakijiji,
Hutakiwi kuwa genius kujua hilo katika mtililiko huu. Ni sawa na kule Kiteto wala hatukutakiwa kuwa genius kujua vijana wa CCM walipiga viongozi wa CHADEMA.