mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kama kuna watu wavumilivu ni waumini wa Gwajima, waliabudu kwenye full suit ya mabati pale Ubungo, wakapigwa jua Tanganyika Pakers Kawe, wakarudi kwenye magofu Ubungo.
Baada ya ubunge kanisa lake linajengwa kwa kasi usiku na mchana tena ni ghorofa, kweli ubunge unalipa.
Baada ya ubunge kanisa lake linajengwa kwa kasi usiku na mchana tena ni ghorofa, kweli ubunge unalipa.