Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni tapeli haswaNi mjanja sana,ndugai aliposema nchi itauzwa kumbe alimtumia sms kumpongeza,aliposikia mawasilaino ya ndugai yanafuatiliwa akaitisha press kumtaka ajiuzulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tapeli haswaNi mjanja sana,ndugai aliposema nchi itauzwa kumbe alimtumia sms kumpongeza,aliposikia mawasilaino ya ndugai yanafuatiliwa akaitisha press kumtaka ajiuzulu
Mwakani sahivi kuna coronaAnatupeleka lin marekani?
Hivi Kuna Lile la mlima wa Moto bado lipo?Kama kuna watu wavumilivu ni waumini wa Gwajima, waliabudu kwenye full suit ya mabati pale Ubungo, wakapigwa jua Tanganyika Pakers Kawe, wakarudi kwenye magofu Ubungo.
Baada ya ubunge kanisa lake linajengwa kwa kasi usiku na mchana tena ni ghorofa, kweli ubunge unalipa.
Kuna tishio la kuwepo kambi za ugaidi sehemu.Mtulie kwanza ili mpokee Noahs zenu za makinikia.Anatupeleka lin marekani?
We utakua unakaa mkoaniBila picha habari hainogi
Namjilinji halafu inaingia ndani ndani km 134.We utakua unakaa mkoani
Ni mjanja sana,ndugai aliposema nchi itauzwa kumbe alimtumia sms kumpongeza,aliposikia mawasilaino ya ndugai yanafuatiliwa akaitisha press kumtaka ajiuzulu
Mimi nasubiri aanze kuchonga barabara za mtaa kwa gredaAnatupeleka lin marekani?
Kanisa siyo jengo.Kwa hiyo alikuwa ananunua ndege wakati kanisa hana? Muhuni mmoja huyo!