Huu ndio ukweli kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, imeridhia kilichofanywa na ile CC ya Chadema kuwatimua, hivyo baada ya hukumu hii, inapaswa kina Mdee kuvuliwa ubunge kusubiria rufaa zao Baraza Kuu, ila hili halitafanyika kwasababu mahakama haijawatendea haki!. Dr. Tulia ni mtu wa haki bin haki, wataendelea na ubunge wao!, kama nilivyosema hapa
CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P