Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti
Kwa maoni yangu, walipoteza sifa tangu siku waliyofukuzwa na chama. Wamewekwa tu mgongoni kimasilahi. Hata kazini ukifukuzwa iwe kwa haki au kimakosa unakaa benchi na utadai haki zako ukiwa benchi na endapo itaonekana ulifukuzwa kinyume cha sheria mahakama itaamuru urejeshwe kazini na au ulipwe fidia. Kwa hawa 19 utaratibu huu haukufuatwa. Kuanzia hapo kasoro za kiuratibu zilianza kuonekana.