Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti
Kwa maoni yangu, walipoteza sifa tangu siku waliyofukuzwa na chama. Wamewekwa tu mgongoni kimasilahi. Hata kazini ukifukuzwa iwe kwa haki au kimakosa unakaa benchi na utadai haki zako ukiwa benchi na endapo itaonekana ulifukuzwa kinyume cha sheria mahakama itaamuru urejeshwe kazini na au ulipwe fidia. Kwa hawa 19 utaratibu huu haukufuatwa. Kuanzia hapo kasoro za kiuratibu zilianza kuonekana.
 
Huu ndio ukweli kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, imeridhia kilichofanywa na ile CC ya Chadema kuwatimua, hivyo baada ya hukumu hii, inapaswa kina Mdee kuvuliwa ubunge kusubiria rufaa zao Baraza Kuu, ila hili halitafanyika kwasababu mahakama haijawatendea haki!. Dr. Tulia ni mtu wa haki bin haki, wataendelea na ubunge wao!, kama nilivyosema hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
Naomba unieleweshe mkuu, umesema mahakama haijawatendea haki, how?. Na je kama lisipofanyika si Dr. Tulia atakuwa amedharau katiba? Asante

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio ukweli kwa mujibu wa hukumu ya mahakama, imeridhia kilichofanywa na ile CC ya Chadema kuwatimua, hivyo baada ya hukumu hii, inapaswa kina Mdee kuvuliwa ubunge kusubiria rufaa zao Baraza Kuu, ila hili halitafanyika kwasababu mahakama haijawatendea haki!. Dr. Tulia ni mtu wa haki bin haki, wataendelea na ubunge wao!, kama nilivyosema hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
Traitor
 
Back
Top Bottom