Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Huku watu hawana njaa. Ni mwendo wa kuhila tu. Na kumpigia kura mzalendo namba 1
Wanaogopa kufukiwa na matinga tinga kama ilivokuwa kwa Ben na Hawa Mchopa
Ngojeni kwenye boksi la kula ndii muanze kuziiba
 
mtafunaji wa taifa sliyekuwa amejificha kwa vazi la kondoo miaka mingi sana sasa anaamua kuvua gamba la kondoo taratibu nakuonekana undani wake......๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

ukiona vitu kama hivi ndani ya taifa lolote lile duniani basi jua kabisa siasa imeisha ,mwenye mpini kapata uhuru mpaka kanogewa na kajisahau kuwa hili ni Taifa na si nyumba ya familia......

miaka 20-40 ijayo panapo pumzi mtaelewa namaanisha nini.....
hii siasa yakutumia kivuri cha amani ni ya mpito ina mwisho wake๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Tena siyo opposition tu,malizia wapya wa opposition.Umeona mzoefu Mbunge wa opposition kaenguliwa kisa kakosea kujaza form ?
Na wa CCM wapya wote wajua kujaza kuliko opposition?? Au?
 
Kuna watu hua mnafikiria kwa makalio. Itโ€™s obvious kinachofanyika, sheria inawaruhusu pia kukukataa bila kukupa hata sababu (imeandikwa).

Sitoshangaa kama wanarudisha form nzima then mtu anaongeza ujinga kwa mkono wake, ishafanyika na itafanyika tena. Nchi ya machizi so hakuna cha ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ