Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Ila busara itumike, waache washindane, mbona kushinda tu safari hii ni ngumu!!

Cha kusikitisha ACT wazalendo ndiyo imesababisha hili
 
Nani analipiza kisasi ?Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Ila ukweli unaujua ila unataka tu jukwaa lichangamke
 
Nani analipiza kisasi ?Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Kwani kuweza kujaza hizo fomu mpaka uwe na degree ngapi?!

Ujinga mtupu.
 
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!

Anahusika sababu alishasema hataki mkurugenzi aliyemteua yeye na kumpa Gari na kumlipa mshahara atangaze mshindi wa upinzani kwahiyo wakirugenzi wanaengua wapinzani ili wasiweze kumkwaza aliyewateua wakapoteza vibarua vyao
 
Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
Hivi ingekuwa kuna kukosea kujaza fomu namna hiyo duniani kungekuwa na huduma kweli? Watu wangeenda vyuo kweli?

Kuna fomu ngumu kama zile za kuomba visa kweli?

Mbona watu tunakosea na tunarekebishwa kuendelea na safari?
Swali zaidi; Ukikosea kujaza fomu unafukuzwa au unarekebishwa?
 
Huu uhuni unatosha sasa, hivi huyo Mwenyekiti wa Tume haoni aibu kuwaengua wagombea wa upinzani pekee?!

Kwanini aone aibu wakati aliyemteua alisema hataki kusikia anatangaza mshindi toka upinzani sasa nasubiri washinde ili apambane na nguvu ya umma ni kuwaengua mapema kusafisha njia
 
Back
Top Bottom