Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao
Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.
Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"