LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Siyo kweli. Mazingira wanayotengenezewa,inaonekana ni hivyo ila uhalisia siyo kweli.
 
upotoshaji haujawahi kuwasaidia chochote chadema,

Lakini pia kutafuta huruma ya wananchi haijawahi kuwaongeza chochote na popote ndrugo zangu chadema,

siasa ni kujipanga ndrugo zangu na si vinginevyo 🐒
Unachoandika wewe ni hisia na siyo uhalisia. Kujipanga unakozungumzia wewe ni pamoja na kuwafungia watu ndani?
Tumia kichwa chako vizuri kufikiria ndugu
 
Unachoandika wewe ni hisia na siyo uhalisia. Kujipanga unakozungumzia wewe ni pamoja na kuwafungia watu ndani?
Tumia kichwa chako vizuri kufikiria ndugu
nani akufungie ofisini wewe na unaonekana kabisa mwenye njaa njaa na kiu na huna jambo mfukoni?

unifie ofisini kwangu? useless and nonsense allegations 🐒
 
Kwahiyo waliokuwepo eneo la tukio wanadanganya? Vyombo vya habari vinadanganya? Ila wewe ndiyo una ukweli? Stiff necked fool!

ni waongo na wazushi kupindukia hao gentleman.

kwahiyo mtoa hoja useless kabisaaaa, ambae pia komando wa uzushi na propaganda za Chadema ndio chombo cha habari right?

na kwamba umebaki na mihemko na kingereza kichele right 🤣
 
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao

Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.

Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"
Huu ni UCHAFUZI sio Tena UCHAGUZI.
 
ni waongo na wazushi kupindukia hao gentleman.

kwahiyo mtoa hoja useless kabisaaaa, ambae pia komando wa uzushi na propaganda za Chadema ndio chombo cha habari right?

na kwamba umebaki na mihemko na kingereza kichele right 🤣
Huelewi kwa sababu wewe ni mpumbavu
 
Siasa za bongo ziwe za chama kimoja. Ili wakishandwana humo ndani waunde majeshi yakuuwana na kutekana ndani ya chama hicho hicho.

Maana Dola limeshindwa kulinda vyama vingi.
Turudi mfumo wa chama kimoja tu
Mambo ya vyama vingi sijui demokrasi ni uchuro na kupoteza pesa na muda kwa vitu ambavyo havipo kabisa
 
Back
Top Bottom