LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
DC kama DC lazima apandishwe cheo awe RC baada ya kuwashenyenta wagombea wa upinzani.
 
Tena kama wewe ilitakiwa upigwe mpaka uchakae .Nitafurahi sana kuona na kusikia umepigwa vizuri mpaka akili ikukae sawa kichwani mwako.
Wewe ni wa kuchomwa moto kama vibaka wenzako wanavyochomwa endelea kujitoa akili tu dawa yako inachemka. Katika kutekeleza kanuni ya jino kwa jino wewe utakuwa mfano,umeshajiweka kwenye kulengeo mwenyewe kwa kutaka sifa za kijinga.
 
CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Yaani ukae machakani huko halafu ujue kila linalotokea Tanzania wakati mwingine uwe unatulia unajipendekeza Hadi inafikia unatia aibu na kinyaa
 
Wakuu,

Ameandika haya Malisa kupita kurasa yake ya Insta;

"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.

"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"

View attachment 3153144
Si Wapige kinyesi humo humo ofisini! CHADEMA mbona tuko laini laini sana? Au wabomoe mlango!
 
Wewe ni wa kuchomwa moto kama vibaka wenzako wanavyochomwa endelea kujitoa akili tu dawa yako inachemka. Katika kutekeleza kanuni ya jino kwa jino wewe utakuwa mfano,umeshajiweka kwenye kulengeo mwenyewe kwa kutaka sifa za kijinga.
Kama unajiamini jitokeze hadharani kwa majina yako halisi na useme maneno yako haya halafu uone kitakachofuata.
 
Wewe huoni kuwa hii ni hatua muhimu. Ungejulia wai kuwa CCM wamewehuka/wamekuwa vichaa kama wanavyo onyesha sasa bila ya CHADEMA kujitoa mhanga kama wanavyo fanya sasa?

Wewe unadhani uenda wazimu huu utawaacha salama CCM?
Mimi CCM nimeijua tangu 2016 kipindi cha mwendawazimu jiwe.
CCM walichofanya 2019 na 2020 ndicho kitakachofanywa 2024/2025
 
Kuna watu wanafkiri Mungu hayupo na ndio maana hofu ya Mungu imeondoka ndani yao,kuna watu wanaandaa laana ya vizazi vyao kwa kupenda,.
 
Kuna msemo usemao,

" Ujinga ni wakati wa kwenda tu, Si wakati wa kurudi"

Sasa CHADEMA kwenda na kurudi hakuna tofauti,

Yaani Kweli chama kilishindwa kufanya uchanganuzi wa yaliojiri 2019 Ili kupata namna ya kuyaepuka yasijirudie?

Katika hili Niko upande wa Lissu.
 
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao

Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.

Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"
We need free and fair election
 
Back
Top Bottom