LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mimi CCM nimeijua tangu 2016 kipindi cha mwendawazimu jiwe.
CCM walichofanya 2019 na 2020 ndicho kitakachofanywa 2024/2025
Kwani kuna aliye kubishia kuhusu hilo unalojuwa wewe na sisi sote?

Kwa hiyo ukijua hayo ya 2019, na 2020; hiyo ndiyo sababu ya kufanya kama ilivyo fanyika wakati huo? Bado huoni tofauti hadi sasa?
Kwa hiyo wewe unasubiri tu hali iendelee vile vile kama baada ya 2019 na 2020! Kwa nini?
 
Ni kweli tupu halafu unadhani kuna uchaguzi hapo zaidi ni uchafuzi
Ignition of turmoil, (kuwasha machafuko) ndicho CCM wanakitaka,

Humu tuanaandika kila siku kuhusu uncertainty yaani ni nini kiini cha changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

You can not fool all people, all the time

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutimiza wajibu wangu wa kuelimisha
 
Tena kama wewe ilitakiwa upigwe mpaka uchakae .Nitafurahi sana kuona na kusikia umepigwa vizuri mpaka akili ikukae sawa kichwani mwako.
EEeeenHeEEEEE!

Kuna siku mkuu 'Lucas', tena naona inakuja haraka kuliko ilivyo tegemewa! Endeleeni kuwachakaza hao jamaa hadi akili ziwaruke vichwani.
Sisi sote tutaungana nanyi katika furaha yenu, ingawaje tutakuwa na hofu kuu mioyoni mwetu.
Usikose kumhimiza mama aongeze nguvu kwenye eneo hilo linalo wapa nyinyi raha nyingi mioyoni mwenu.

Nilipo sema wewe ni mgonjwa kichwani, sikukosea hata mara moja, maana inazidi kuwa bayana kwamba wewe ni mgonjwa.
 
Nafasi ya ukatibu mkuu kwa John Mnyika haimtoshi. Yuko soft sana.
Wala huwezi kuilaumu Chadema wala Uongozi kwenye hili. Hata wewe mwenyewe ukweli huo unaufahamu.

Haya yanayoendelea hivi sasa ni udhalilishaji wa ccm mbele ya Jamii. Wakati wa kampeni ccm watapata majibu ya uovu wao. Tena kutoka kwa Wanachama na wafuasi wao waliokatishwa tamaa kwa mwenendo huu mchafu.
 
Kwani huyu DC hana kwake, haiendi kanisani au msikitini. Kwanini aishi kwenye jamii kama hiyo mambo yawe powa tu. Kama ni mimi asingemaliza hata wiki
 
Majeshi na vyombo vya Usalama ndio sababu Kuu ya ujinga mwingi kutamalaki katika jalala hili la Afrika mashariki.
 
CCM wanachofanya ni uhujumu uchumu pekee, unaandaa uchaguzi kwa mabilioni ya fedha huku ukijua uchaguzi haupo, ni upumbavu
 
Binadamu akipata changamoto huamsha ubongo, anapoamsha ubongo kupata suluhisho hukutana na ubunifuni ambao wewe uliyemsabashia changamoto kwa akili zilezile zilizo tengeneza tatizo huwezi tena kukabiliana naye

Kila binadamu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia sana, vilevile takwimu za wizara ya afya, kati watu 4 Tanzânia mmoja ana tatizo la afya ya akili, kwa lugha nyepesi mkiwa watu 8 wawili wayakiwa na tatizo la akili, ama 96 utapata watu 12
 
Vyama vingi nashauri visiwepo kibakie chama kimoja,

Ubaya wake chama kimoja baadae wakishindwana ndio mwanzo wa makundi ya waasi,

Kwa siasa za bongo,najuta kwann nilipoteza muda kujiandikisha kwakweli.
 
Vyama vingi nashauri visiwepo kibakie chama kimoja,

Ubaya wake chama kimoja baadae wakishindwana ndio mwanzo wa makundi ya waasi,

Kwa siasa za bongo,najuta kwann nilipoteza muda kujiandikisha kwakweli.
Haiwezekani kwasasa kwa kizazi kilichopo madhara yake taifa litakuwa linaongozwa na wajinga/wapumbavu, vile vile watataka ufikiri wanavyotaka wao je wewe utakubali?, yaani kusafishwa ubongo, (brainwash)
 
CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Mkuu sijawahi kukujibu. Utanisamehe, ila nahisi huna akili timamu. Au unahusika na damu za watu. Hao wakifia humo ofisini kuna uchunguzi mtakaofanya zaidi ya kutunga. Kama unajidai una nguvu utapiganaje na mtu uliyemfunga mikono ? Mpe nafasi na vipaombele sawa halafu muingie uwanjani, na mtuletee matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…