LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakati mwingine naona Chadema haya mambo wanajitakia. Ajenda ya Katiba na Tume Huru ilipaswa kushikiliwa badala ya kukubali kushiriki uchaguzi wa kishenzi.
Mtu anakupaka mafuta makalio unasema hebu ngoja nione kama atani Puff Dady?
Kama akili zipo kwenye vyeo, ni sawa. Ila kama ni ukombozi wa kweli basi, achaneni na uchaguzi.
 
Hata mkizira na kususa .sisi tutaomba na kula kila kitu na Nchi itasonga kama kawaida kwa amani,utulivu na mshikamano
 
Ningekoment ila huu upuuzi wa siasa za bongo sitaki kusikia hata kidogo.
 
Wapigwe tu Hawa wapumbavu,,, tulishasema ajenda YETU saivi ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wao wanajiingiza kwenye huu uchaguzi,,,
 
CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Angalia clip wewe mama, acha ushabiki maandazi bila takwimu.
Nguvu iliyotumika kuzuia maandamano Dar es Salaam uliiona na ulikaa kimya.
Kama shughuli yako Ni mama ntilie stick to your lane.
Wewe unaona kuliko walioko ubungo?
 
Kuna mambo ya ajabu na uhuni ambayo nahisi hata shetani kwa ccm atakwenda kusoma!
Nahisi wanajiona kuwa hii nchi ni yao wenyewe na walipewa na Mungu, ipo siku hali itageuka na matendo yao watalipwa hapahapa Tz
 
CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Fala wewe vijiposho vya sh 2500 unavyopewa kwa uchawa mavi wako ndio vinakufanya uropoke kama lilevi la ngedule
 
sasa kama wanaleta fujo kwanini wasipigwe wahuni hao wapigwe mpaka wachakae
 
Ukiwa umejificha JF

Kumbe!! Nilikuwa sijui!!!
Ndiyo hivyo ujue kuwa uchoko wako ni wa kurithi, wazazi wengine huwarithisha watoto wao mali na elimu wewe babako kakurithisha ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…