Una ujuzi wowote katika Mambo ya ujenzi mkuu? Au una bundle na Smartphone tu inayokuwezesha kuropoka tuLakini ile Ubungo ni flyover Kama ya TAZARA tu, pale hakuna interchange kabisaa kabisaa. Sijaiona kinacho change route pale bali kuvusha kwa haraka magari kutoka sehemu Mona kwenda ingine.
By the way tunaipongeza Serikali kwà flyover imesaidiaa Sana foleni
Tumefanyiwa hisani watz, hatustahili kabisa.
80% za hoja zilizowapa umaarufu Wapinzani, JPM kazifanyia kazi.
Sa hivi wapinzani wanakua Kama mke mwenza, wivu wa utekelezaji wa walichokisemea miaka15 nyuma
Wahutu wametuharibia nchi yetu sanaPascal akili zake alishaziweka mfukoni, ule uzi ulipaswa uandikwe na Bia yetu au Magonjwa Mtambuka