Ubungo Interchange ni ushahidi kwamba bado Serikali ya CCM haifanyi kazi kwa ufanisi

Ubungo Interchange ni ushahidi kwamba bado Serikali ya CCM haifanyi kazi kwa ufanisi

Hivi hiyo Ubungo interchange inaliwa?
Mwananchi wa Buza ambaye mtoto wake amefariki kwa ajali ya Costa pale Mataa ya Chang'ombe utamweleza habari za flyover ya Ubungo inamfaa nini?
Imepunguza msongamano wa magari,misongamano ya magari Dar inaligharimu taifa sh.Billion 4 kwa siku.
Mkuu unataka kurudi old stone age?
 
Habari za wakati huu;

Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe.

Kwanza kabisa nimesikitishwa kwa msomi kama yeye kutuambia kwamba TUMPE KURA MAGUFULI KAMA SHUKRANI. Amenikera na kuniudhi sana kwani ameonesha unafiki,uzandiki,uvivu wa kufikiri na kujikomba kwa hali ya juu.

Ingetosha yeye kusema kwamba tumpe kura kwa sababu anaonesha uwezo na jitihada lakini NENO KUMSHUKURU wakati kiuhalisia hako kamradi ka kutengeneza hapo ubungo ambako inasemekana kana gharama ya Bilion 200.5 za kitanzania ni kamradi ambako pamoja na manufaa yake lakini kamechelewa kwa zaidi ya miaka 15+.

Nataka nimwambie Paskali kwamba kumpa KURA kiongozi sio SHUKRANI.Lazima kiongozi aoneshe kwamba anaimudu kazi yake kikamilifu na katika miaka mitano iliyoptia JPM ameshindwa kuthibitisha hilo;

  1. Kwanza kabisa idadi ya miradi ya ujenzi aliyoanzisha ambayo ni Mingi na ya gharama kubwa haikuwa strategic.Ni kiradi ambayo imelock financial resources bila kuzingatia ROI na ulazima wa miradi husika.Kwa haraka haraka 60% ya spending za JPM kwenye miradi ya miundo mbinu ikifanyiwa assessment inaweza kupatika kuwa haikuwa na ulazima wa kutekelezwa wakati huu na miradi mingi ambayo ilipaswa kutekelezwa kwa haraka bado hata haijafikiriwa.
  2. Pili Miradi Mingi ya JPM inaonekana kuwa Overpriced pamoja na jitihada zao za kutaka kuonesha kwamba gharama ziko chini.Lazima tukubali kwamba Gharama ya Mradi lazima zingatie,ubora,thamani ya Pesa,Muda wa utekelezaji,Impact yake ya muda mfupi na muda mrefu.Sasa kwa kuzingatia hayo utaona kabisa kwamba kuna miradi mingi ambayo sisi kama walipa kodi tumelipa zaidi ya tutakachopata.
  3. Tatu ukienda POSA sasa hivi majengo mengi yamejaa POPO.Hakuna tenants.Ukienda kariako kumejaa wamachinga kila kona.Ukiangalia kwa haraka hii kauli yangu unaweza kuelewa kwamba Thamani ya hio flyover tayari imeshuka kwani pamoja na kwamba watu watarahisishiwa kufika POSTA na KARIAKO ila waliopo KARIAKOO kwa sasa ni watu ambao wameathiriwa na MFUMO wa UCHUMI chini ya MAGUFULI ni kujikuta wakiishia kuwa WAMACHINGA,MAMA NTILIE,MADEREVA BODA BODA na WACHUUZI.
  4. Nnne Paskali naomba unisaidie kufuatilia kwa aukaribu kabisa kuhusu GHARAMA za UJENZI WA FLYOVER YA TAZARA na INTERCHANGE ya UBUNGO halafu uniambie ulichogundua kuhusu tofauti za gharama.
Itoshe tu kusema kwamba KURA SIO SHUKRANI BALI NI MKATABA?MAKUBALIANO.

Kama watanzania wanataka kuendelea kulimia MENO basi watamchagua JPM ila kama wanataka mabadiliko ya uelekeo wetu KISERA basi nafikiri JPM anapaswa kuonesha uelekeo sahihi wa KISERA hasa katika kipindi hiki cha Kampeni.
[/Q
Ndugu unazungumzia hisia zako pasipo data wala mifano. Mradi gani kwa mfano uko overprised na kwa kigezo gani. No research no right to speak. Unasema Kariakoo wamebaki Wamachinga,bodaboda vipi hao Wamachinga hata kama ingekuwa kweli kuwa ndiyo walioko Kariakoo, wao wanakwenda Kariakoo kwa kupaa? hawahitaji barabara. Ni vyema ukileta uzi ufanye utafiti kidogo. Umeshatoa conclusion kwamba miradi imekuwa overprised wakati huo huo unaomba ujulishwe bei ya miradi hiyo! This is pathetic !!!
 
Una ujuzi wowote katika Mambo ya ujenzi mkuu? Au una bundle na Smartphone tu inayokuwezesha kuropoka tu
Fasiliteta..inaonekana kabisa kabisa wewe ni UVCCM wetu ninyi vijana mliosoma vyuo hivi vya kata..hebu google Basi interchange utapata hata picha tuu. Nashukuru na ukongwe wangu ndani ya Chama chetuu nilipata fursaa ya kutembea na kusoma pia hizo nchi zenye interchange hiyo sio kabisa ni fly over Kama ile ya pale TAZARA. Unalo bando mdogo wangu sijui mwanangu tafuta utapata maana ya interchange usiwe parrot waiga kilaa sauti hata hujui Kama matusi ama sio.
 
Back
Top Bottom