Ubungo Interchange ni ushahidi kwamba bado Serikali ya CCM haifanyi kazi kwa ufanisi

Hivi hiyo Ubungo interchange inaliwa?
Mwananchi wa Buza ambaye mtoto wake amefariki kwa ajali ya Costa pale Mataa ya Chang'ombe utamweleza habari za flyover ya Ubungo inamfaa nini?
Imepunguza msongamano wa magari,misongamano ya magari Dar inaligharimu taifa sh.Billion 4 kwa siku.
Mkuu unataka kurudi old stone age?
 
 
Una ujuzi wowote katika Mambo ya ujenzi mkuu? Au una bundle na Smartphone tu inayokuwezesha kuropoka tu
Fasiliteta..inaonekana kabisa kabisa wewe ni UVCCM wetu ninyi vijana mliosoma vyuo hivi vya kata..hebu google Basi interchange utapata hata picha tuu. Nashukuru na ukongwe wangu ndani ya Chama chetuu nilipata fursaa ya kutembea na kusoma pia hizo nchi zenye interchange hiyo sio kabisa ni fly over Kama ile ya pale TAZARA. Unalo bando mdogo wangu sijui mwanangu tafuta utapata maana ya interchange usiwe parrot waiga kilaa sauti hata hujui Kama matusi ama sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…