Ubungo mataa: Trafiki agongwa na pikipiki akikimbilia kusimamisha lori

Dawa ni kuwa na mguu wa kuku tu na kuchapa matako yao haraka! Waambie atakaefunga ni atakula shaba tu
 
Yana roho mbaya sana haya majitu

Na ndo maana hayajawahi kutusua life, wengi wamejaaa wivu, roho mbaya na msongo wa mawazo...

Nina kisasi nao cha kulipa fain ya kupakaziana, so kishandu kanisuuza nafsi

30 tu imekufanya ujae moto hivi???

kumbe nawewe hujatusua basi.
 
Traffic wameacha kazi ya kuangalia usalama barabarani na kujiingiza katika kupokea rushwa kutoka kwa magari ya mizigo na abiria. Sijawahi kusikia takukuru imemkamata traffic!

takukuru ihangaike na watu ambao mnawapa wenyewe hela!!!

kama mna uchungu daini risiti,huo ndio usafi wa mwili na roho.
 
jamaa aliwekewa barrier mikese,tajiri akapigiwa simu,watalii wakawahishwa airport na mtu mwingine ila jamaa alibawekwa ndani kwanza,ila kwenye kesi baadaye jamaa alikuja kushinda

lakini mahabusu alikaa kwa upumbavu wake.
 

Mambo ya CCM hayo
 
Kumbuka huyo askari ana mke na watoto, hatujafika huko kuombeana mabaya, Yesu alitupenda kama jinsi tulivyo, Mungu angeangalia maovu Yetu hakika hamna ambaye Angepona, tuombeana badala ya kuchukiana.
Mbona wao hawatupendi?? Wao wanapenda pesa zaidi kuliko binadamu mwenzie.
 
wale boda boda wanaoning’iniza visendo alafu wana virasta kati kati uku pembeni wamenyoa ni hatari sana,,,! honi ndo breki
 
Mkuu hata huyu aliepitiwa kishandu?
 
Mkuu ni wale boda wanaoendesha bila buti wala helmet halafu mwendo wa mbwa😀
Sifa yao nyingine huwa wamekaa upande, ananing'iniza ndala upande mmoja.......na sauti ya singeli ikiwa juu. Carelessly riding on.
 
Kumbuka huyo askari ana mke na watoto, hatujafika huko kuombeana mabaya, Yesu alitupenda kama jinsi tulivyo, Mungu angeangalia maovu Yetu hakika hamna ambaye Angepona, tuombeana badala ya kuchukiana.
Yesu? Hapa Yerusalem. Wao mbona hawatupendi?
Mimi polisi wote siwapendi. Nina uncle wangu yuko pale O bay station huwa moyoni simpendi japo ndugu yangu. Polisi wangese sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…