witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Aaaah wapi haponi mtuPole sana Trafiki, Mungu atakuponya haraka urejee kwenye majukumu yako ya kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah wapi haponi mtuPole sana Trafiki, Mungu atakuponya haraka urejee kwenye majukumu yako ya kila siku.
We mzee punguza hasira😂 utakuja fanya kitu mbaya 😂😂Hasira niliokuwa nayo jana nilienda lala mapema sana sababu ningeweza kufanya matukio ya ajabu! Traffic wana uonevu sana na ni vile wanajua hatuna cha kuwafanya yani akiwa road pale!
Yani salama yako uwe na namba ya mkubwa umpigie ili amtishe tishe 😂
Traffic wameacha kazi ya kuangalia usalama barabarani na kujiingiza katika kupokea rushwa kutoka kwa magari ya mizigo na abiria. Sijawahi kusikia takukuru imemkamata traffic!Katika tukio la kustaajabisha na kushangaza hadi kuacha watu midomo wazi askari wa usalama barabarani aliekuwa kasimana mita chache kutoka mataa Ubungo kama unaelekea barabara ya Mandela (geti la kwanza la kushoto songas) askari ambae alikuwa kasimama hapo akiongea na dereva wa kirikuu alichokamata ameingia barabarani ghafla ili kuwahi kusimamisha lori lilokuwa linapita ndipo alipopata makasa huu pale alipokutana na pikipiki ilokuwa speed maarufu kama kishandu).
Tukio lenyewe ni kuwa huyu trafic alikuwa kashakamata kirikuu kikapaki pembeni kushoto. Wakati wanadadiliana na dereva wa Kirikuu mara likatoka lori ambalo limetokea mataa linaelekea Buguruni, ndipo huyo trafic akakatuza mbele ya kirikuu ghafla kuwahi barabarani ili asimamishe lori kumbe kuna pikipiki ilikuwa speed inapita kushoto mwa hili lori ikamvaa huyo askari hadi kumtupa pembeni na kumburuza.
Kwa ile hali niliyoona kama shuhuda, yule askari kaumia sana tena sana maana alikuwa chini haongei wala hajigusi.
Nukuu ya mashuhuda:
Wacha afee wamezoea kula hela yetu hawa, msimguse mwacheni afe. Mwisho, kwa ile kauli niliyosikia pale hata sikuangaHika kutoa msaada wala kuhangaika kupiga piga.
My take; Polisi jirekebisheni kaeni vizuri na raia wameshawachoka mambo mnayowafanyia. Poleni sana.
Yeye anaowaonea hawana wake na watoto?Kumbuka huyo askari ana mke na watoto, hatujafika huko kuombeana mabaya, Yesu alitupenda kama jinsi tulivyo, Mungu angeangalia maovu Yetu hakika hamna ambaye Angepona, tuombeana badala ya kuchukiana
Katika tukio la kustaajabisha na kushangaza hadi kuacha watu midomo wazi askari wa usalama barabarani aliekuwa kasimana mita chache kutoka mataa Ubungo kama unaelekea barabara ya Mandela (geti la kwanza la kushoto songas) askari ambae alikuwa kasimama hapo akiongea na dereva wa kirikuu alichokamata ameingia barabarani ghafla ili kuwahi kusimamisha lori lilokuwa linapita ndipo alipopata makasa huu pale alipokutana na pikipiki ilokuwa speed maarufu kama kishandu).
Tukio lenyewe ni kuwa huyu trafic alikuwa kashakamata kirikuu kikapaki pembeni kushoto. Wakati wanadadiliana na dereva wa Kirikuu mara likatoka lori ambalo limetokea mataa linaelekea Buguruni, ndipo huyo trafic akakatuza mbele ya kirikuu ghafla kuwahi barabarani ili asimamishe lori kumbe kuna pikipiki ilikuwa speed inapita kushoto mwa hili lori ikamvaa huyo askari hadi kumtupa pembeni na kumburuza.
Kwa ile hali niliyoona kama shuhuda, yule askari kaumia sana tena sana maana alikuwa chini haongei wala hajigusi.
Nukuu ya mashuhuda:
Wacha afee wamezoea kula hela yetu hawa, msimguse mwacheni afe. Mwisho, kwa ile kauli niliyosikia pale hata sikuangaHika kutoa msaada wala kuhangaika kupiga piga.
My take; Polisi jirekebisheni kaeni vizuri na raia wameshawachoka mambo mnayowafanyia. Poleni sana.
Hakika. Wana kazi wanatakiwa kufanya kwa kweliHawa watu ni shida sana, wanatakiwa kujirekebisha maana wameshaweka uadui kati yao na watu wanaomiliki vitu vya moto
hao jamaa wana roho mbaya sana, kuna mmoja alinikamata iringa akaniambia NAKUANDIKIA MAKOSA MAWILI kabla hata sinauliza ufafanuzi akaingia kwenye gari lake akajifungia kwamba hataki kutoa maelezo ya hayo makosa. Kweli badae nilivoangalia nikakuta makosa mawili.Katika tukio la kustaajabisha na kushangaza hadi kuacha watu midomo wazi askari wa usalama barabarani aliekuwa kasimana mita chache kutoka mataa Ubungo kama unaelekea barabara ya Mandela (geti la kwanza la kushoto songas) askari ambae alikuwa kasimama hapo akiongea na dereva wa kirikuu alichokamata ameingia barabarani ghafla ili kuwahi kusimamisha lori lilokuwa linapita ndipo alipopata makasa huu pale alipokutana na pikipiki ilokuwa speed maarufu kama kishandu).
Tukio lenyewe ni kuwa huyu trafic alikuwa kashakamata kirikuu kikapaki pembeni kushoto. Wakati wanadadiliana na dereva wa Kirikuu mara likatoka lori ambalo limetokea mataa linaelekea Buguruni, ndipo huyo trafic akakatuza mbele ya kirikuu ghafla kuwahi barabarani ili asimamishe lori kumbe kuna pikipiki ilikuwa speed inapita kushoto mwa hili lori ikamvaa huyo askari hadi kumtupa pembeni na kumburuza.
Kwa ile hali niliyoona kama shuhuda, yule askari kaumia sana tena sana maana alikuwa chini haongei wala hajigusi.
Nukuu ya mashuhuda:
Wacha afee wamezoea kula hela yetu hawa, msimguse mwacheni afe. Mwisho, kwa ile kauli niliyosikia pale hata sikuangaHika kutoa msaada wala kuhangaika kupiga piga.
My take; Polisi jirekebisheni kaeni vizuri na raia wameshawachoka mambo mnayowafanyia. Poleni sana.
Mwambie siku nyingine awe anajishusha, yaani awe myenyekevu, omba msamaha, eleza umuhimu wa hiyo safari, binadamu tumeumbwa na moyo wenye majuto.jamaa aliwekewa barrier mikese,tajiri akapigiwa simu,watalii wakawahishwa airport na mtu mwingine ila jamaa alibawekwa ndani kwanza,ila kwenye kesi baadaye jamaa alikuja kushinda
usiridhi maadui wala marafiki, wewe ungetoa tu msaada uende zako, kama una gari unambeba,unmpeleka muhimbili na kumkabidhi, uhai ni bora kuliko kitu chochote, tenda wema uende zako na usisubiri malipo.Katika tukio la kustaajabisha na kushangaza hadi kuacha watu midomo wazi askari wa usalama barabarani aliekuwa kasimana mita chache kutoka mataa Ubungo kama unaelekea barabara ya Mandela (geti la kwanza la kushoto songas) askari ambae alikuwa kasimama hapo akiongea na dereva wa
Hii style ya ukaaji wa hawa boda boda huwa inanichekesha sana na ndala anavaa kama kaegesha tu🤣🤣🤣Kiduku na ndala anavaa kama zinataka kuanguka na pikipiki anakalia upande hanyooki kama wengine
Juzi tu j'mosi kapata kutoka kwangu 5k ya kubrash viatu.Njia ya goba mbezi na mbezi kinyerezi kuna dada m1trafiki bonge sura ngumu yan huyo ni rushwa tu!
Yule dada kama hajakukuta na kosa uwa anaomba kiurafiki 😂Juzi tu j'mosi kapata kutoka kwangu 5k ya kubrash viatu.
Ndio huyo huyo, siku aliniomba nikamwambia wewe umezikusanya nyingi tangu asubuhi, nipe basi 10k nikapate supu.Yule dada kama hajakukuta na kosa uwa anaomba kiurafiki [emoji23]
Kuna tatizo lingine kubwa, Nathan Hili linamhusu Mheshimiwa mkuu wa Mkoa kwa Msaada, eneo LA gerezani, Kuna genge LA watu wanne na wanatembea na Bajaji na reflector Nyekundu!! Ila najua kuna taasisi imewatuma!! Eneo limevurugwa sana na biashara na hakuna parking!! Wameandaa maeneo kama sita (6) hapa Kariakoo Gerezani na kuchapisha vibao "taxii" parking na kukaa pembeni, Ukijikuta umeona ni kama parking ukikaribia kupark wanakuja na kukutisha na kukufungia gari na kudai Rushwa!! Jamani Tumefikaje hapa kuwaajiri hawa Majizi!? Ni rahisi kwenda pale na kuwakuta hawana hata tone LA aibu!! Mheshimiwa Makala (Mkuu wa mkoa) tuokoe na matapeli hawa wanatuharibia nchi!! Karibia na Shule ya Kisarawe maeneo hayo na wapo matapeli wanne!! Wanadai rushwa bila aibuHasira niliokuwa nayo jana nilienda lala mapema sana sababu ningeweza kufanya matukio ya ajabu! Traffic wana uonevu sana na ni vile wanajua hatuna cha kuwafanya yani akiwa road pale!
Yani salama yako uwe na namba ya mkubwa umpigie ili amtishe tishe 😂