BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kuna shida yeye kufundisha?There is a Problem somewhere..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shida yeye kufundisha?There is a Problem somewhere..
Point yake ni hio, anataka wafundishwe na walimu vimeo kuendeleza kizazi ya wajinga katika hili taifaHiyo ni kawaida kabisa ukizingatia na ubora wa elimu ya Tanzania. Kuwa na maste degree ya bongo haimaanishi hutakiwi kufundisha madarasa ya awali.kwahiyo wewe ukitaka wenye elimu mbovumbovu au ndogo ndiyo watufundishie watoto wetu?hata ulaya walimu wa masters Hadi PhD hufundisha darasa la kwanza lakini malipo tu ndiyo yanakuwa makubwa.
Kwenye internal schools ambazo ni chache sana Tanzania hao ni wasaidizi wa walimu. Primary ndo panahitajika walimu kama hao hili wajenge msingi bora kwa watoto wetu. Kinachotakiwa alipwe mshahara unaoendeana na elimu yake.
Ubungo hata Afya kuna Vimeo. Hizo miss allocation zipo nyingi tu.Taja shule..
Wilaya ya ubungo ndo inaongoza kua na vimeo kwa sasa.
Mm nilishakuta PHD na ni teacher wa primary..Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.
MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.
This is abuse of power and misallocation of scarce resources.
Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.
Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?
I rest my case.
Masters degree kufundisha std 1 nimeipenda 🤣🤣🤣Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.
MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.
This is abuse of power and misallocation of scarce resources.
Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.
Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?
I rest my case.
Hili halijakaa sawa kabisa, kiutawala hata kiutumishi, either mwalim mkuu ana shida au kuna figisi? Afisa elimu anataarifa? Mkurugenzi ana taarifa?Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.
MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.
This is abuse of power and misallocation of scarce resources.
Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.
Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?
I rest my case.
Na kuna masoko makubwa, kuna biashara kede.Ubungo hata Afya kuna Vimeo. Hizo miss allocation zipo nyingi tu.
ualimu ni wito,Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.
MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.
This is abuse of power and misallocation of scarce resources.
Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.
Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?
I rest my case.
Kwanini tusiwatumie wa cheti kufundisha MEMKWA ili huyu wa degree tumtumie kwenye secondary.ualimu ni wito,
unaweza kufundisha ngazi yoyote ile licha ya level au kiwango cha elimu uliyonayo ilimradi tu una taaluma husika 🐒
nasisitiza uwalimu ni wito.Kwanini tusiwatumie wa cheti kufundisha MEMKWA ili huyu wa degree tumtumie kwenye secondary.
Sasa hivi walimu wa shule za msingi wanakwenda kusahihisha mtihani wa form four na form six, kwani wale wanaofundisha form six Wana dhambi gani.
Why can't everybody stick to his/her lane?
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.