Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

Point yake ni hio, anataka wafundishwe na walimu vimeo kuendeleza kizazi ya wajinga katika hili taifa
 
Kwenye internal schools ambazo ni chache sana Tanzania hao ni wasaidizi wa walimu. Primary ndo panahitajika walimu kama hao hili wajenge msingi bora kwa watoto wetu. Kinachotakiwa alipwe mshahara unaoendeana na elimu yake.
 
Nianze kwa kukuuliza hao uliotajiwa ni degree na master za miaka ipi rafiki ?

Kama ni za miaka kuanzia 2010 muache mwalimu mkuu atafute wenye ahueni ,aisee Kuna watu Wana sijui degree sijui master ni wajinga hata kusema umpe cheo tumbo linatetemeka .

Siku hizi wenye elimu kubwa ndiyo majinga majinga tu ni Bora mwanao kutundishwa na mwalimu wa certificate kuliko kijeba chenye degree muda wote kiko Instagram na telegram kucheki connection
 
Mm nilishakuta PHD na ni teacher wa primary..
 
Haina shida,inatakiwa aitumie hyo masters yake kuwafanya hao wajukuu wetu wamaste mfumo mzima wa uelewa wao
 
Masters degree kufundisha std 1 nimeipenda 🀣🀣🀣
 
Kama hapati mshahara labda ila kama anapokea mashahara we unaona shida gani?


Kada ya elimu inauhaba wa waliku 12000 tu sec 2000 primary 9000
Na mtaani wako walimu hawajaajiliwa zaid ya 20,000 elfu ajabu mwaka huu kuna vijana wataenda kusoma ualimu
 
Hili halijakaa sawa kabisa, kiutawala hata kiutumishi, either mwalim mkuu ana shida au kuna figisi? Afisa elimu anataarifa? Mkurugenzi ana taarifa?
 
Shida ni huyo mwalimu,kama mhusika hajielewi,sisi tutamsaidiaje?
 
Ubungo hata Afya kuna Vimeo. Hizo miss allocation zipo nyingi tu.
Na kuna masoko makubwa, kuna biashara kede.
Na ndo lango la kuingia katikati ya mji linakua na mishkeli namna hiyo, aibu hii.
 
ualimu ni wito,
unaweza kufundisha ngazi yoyote ile licha ya level au kiwango cha elimu uliyonayo ilimradi tu una taaluma husika πŸ’
 
ualimu ni wito,
unaweza kufundisha ngazi yoyote ile licha ya level au kiwango cha elimu uliyonayo ilimradi tu una taaluma husika πŸ’
Kwanini tusiwatumie wa cheti kufundisha MEMKWA ili huyu wa degree tumtumie kwenye secondary.
Sasa hivi walimu wa shule za msingi wanakwenda kusahihisha mtihani wa form four na form six, kwani wale wanaofundisha form six Wana dhambi gani.
Why can't everybody stick to his/her lane?
 
nasisitiza uwalimu ni wito.
Mwalimu wa mchango pekee ndio anaweza nung'unika na kubabaika na ngazi ya ualimu aliyonayo kwamba ni ya chini au juu πŸ’

nina mfano halisi, wa mwalimu wa shule ya msingi kutoka kanda ya ziwa, alijiendeleza akapata diploma ya ualimu, akapangiwa kufundisha sekondari akaomba kubakizwa shule ya msingi. akiwa hapo msingi akajiendeleza tena kusoma mpaka akawa daktari katika masula ya linguistics alipomaliza, bado akarudi kufundisha shule ya msingi....

mpaka utaratibu maalumu ulipofanywa na chuo alichokua akisoma, kufanya jitihada za kumfadhili masomo yake zaidi na wakafanikiwa kumbakiza chuoni hapo kama mkufunzi mkuu, soon atakua Prof.πŸ’

hiyo ya walimu gani kusahisha mitiani gani sijui, sina hakika sana japo inawezekana...

Kwankusahihisha mawaswali ya kuchagua A, B au C ama True and False kutumia marking scheme ni Lazima uwe na Elimu gani?πŸ’
 

Safi sana inatakiwa iwe hivyo, nchi zinazojielewa waalimu wa vidudu kindergarten wana PhD, Masters ili kuwajengea msingi mzuri wanafunzi wa ngazi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…