ni sawa kuuza nyapu ?
Mfano wako hauna uhalisia.kwa mtazamo wako
vijana mashoga, wanaouza mitaro yao tuwaache kwasababu ni ya kwao
Anao ushahidi kuwa walikuwa wanauza? Kinachoangaliwa mahakamani ni ushahidi na si ngonjera.ni sawa kuuza nyapu ?
Kwanza wahanga wale walikuwa maeneo yao ya Makazi na kuvamiwa na kudhalilishwa hii haijakaa SAWA!! Kisa mtu mmoja ajipatie sifa!! Hii haikubaliki mbele ya Taifa lenye utawala Bora na sheriaHakuna lengo hapo zaidi ya kutafuta sifa za kuteuliwa. Kuna shida ngapi za msingi za kushughulika nazo? Kwanza ni sheria ipi inazuia mtu kutumia viungo vyake kupata kipato? Nisaidie kifungu ndugu yangu.
Safi sana ,unadhalilisha watu Kwa sababu za ujinga wakoWanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Wanaccm wanajuana kwa vilemba vyaoanatumbuliwa Very soon
Kwani matumizi ya mtaro yanaruhusiwa??kwa mtazamo wako
vijana mashoga, wanaouza mitaro yao tuwaache kwasababu ni ya kwao
Aliwe kichwa. Anatumia Kodi vibayaanatumbuliwa Very soon
Kuwa dada poa haimanishi udhalilishwe.Daah kwaiyo hawakuwa madada poa
Punguza umbea. Ulikuwepo wakati wanafukuzwa au mihemuko.Tehe tehe! Walifukuzwa kazi kama mbwa
Sijui huwa wanaokotwa wapi.wewe ukimuangalia yule DC huoni kama ana utaahira?
Baba wa taifa HAYATI J.k. Nyerere aliwai kulitolea ufafanuzi hili swala miaka ya nyuma huyo Dc sijui hajisomei hata humu JF Inashangaza Sana na kustaabisha kwa wateule wa RAISI baadhi wanakua too naive...Njia aliyotumia siyo sawa lakini lengo lake lilikuwa ni zuri
kwani hapo cha ajabu ni nini?Tehe tehe! Walifukuzwa kazi kama mbwa
Kwa msing huo, kama Vyangudoa wataacha basi na vibaka nao waachwe wajitafutie riziki kwa njia waliyoichagua.Tatizo liko wapi? Tambua ushahidi wa hili jambo ni mgumu sana,kuna loop holes nyingi sana za kumnasua mtuhumiwa,tushugulike na mambo muhimu,mfano kwa Dar huyo bwana apambane na vibaka kama ana morali ya kazi.
Kwa taarifa yako hachomoi,tanzania ya sasa sio ile ya mwaka 47
Wanaweza kuwa ila ukakosa kuthibitisha..SheriaDaah kwaiyo hawakuwa madada poa
Hahaha kabisaanatumbuliwa Very soon
Yeah sure maana hakuna kithibitisho chochoteWanaweza kuwa ila ukakosa kuthibitisha..Sheria